Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imeomba radhi kufuatia baadhi ya mabalozi wa nchi za kiarabu waliopo Zanzibar kuzuiliwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Amani Abeid Karume mjini Zanzibar...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Baada ya kufanya tathimini na kuzunguka jimboni na kuona hali ya maendeleo na maisha ya watu nimejua watu wangu wa Same wanakosa uongozi wenye uthubutu wa kuwasaidia. Jimbo lenye mbuga za...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Ni muda sasa tangu tumchague Dr. Kebwe kuwa mbunge wetu lakini sijui hadi sasa katufanyia nini cha kumkumbuka. Huyu bwana naona hata lugha ya kiswahili kajifunzia ukubwani. Kwa yoyote mwenye...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kimya chetu si woga au kuwaonea haya au heshima ya pekee. Kutowajibu kwa namna tunayoweza siyo kwamba mna ujiko wenye kututisha. Kwa wiki kadhaa sasa kuna wabunge na viongozi wa serikali ambao...
26 Reactions
75 Replies
6K Views
Natoa tahadhari juu ya huu mgogoro wa mpaka kwenye Ziwa Nyasa kwani serikali inatakiwa kuuchukulia kwa umakini sana huu mgogogro ni wakutengenezwa!! Kwani ukiangalia kuna watu nyuma ya huu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WAKUU, Niliwahi kusema hapa kuwa nimeona doa kwa Mama Tibaijuka kwa namna ambayo anashughulikia mradi wa Kigamboni.Leo katika kipindi cha Generali On Monday nimethibitisha hofu yangu hiyo kupitia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO CHADEMA KINAPENDA KUWATANGAZIA WATANZANIA WOTE WAISHIO LONDON NA SEHEMU ZA JIRANI KUWA KUTAKUWA NA MKUTANO WA UFUNGUZI WA TAWI LA CHADEMA LONDON. TAWI AMBALO...
5 Reactions
46 Replies
5K Views
GAZETI LA MWANACHI LIMEANDIKA Makamba: Maisha bora hayawezi kuletwa na JK ,, Send to a friend Sunday, 05 August 2012 01:11 Fidelis Butahe...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Wana Jamvi ni maoni yangu tu, hivi hatuwezi kuwa na maoni ya pamoja juu ya katiba mpya? Maoni hayo tunakuwa tunayawakilisha kwenye tume sehemu mbali mbali punde inapofika. Hii itapelekea maoni...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Member of Parliament CV GENERAL Salutation...
6 Reactions
114 Replies
11K Views
kumekuwa na malalamiko ya walimu wa shule mbali mbali walio zungumza kwa masharti ya kutotajwa kutohusishwa na zoezi la sensa, ikiwa ni adhabu ya kushiriki kwenye mgomo wa walimu, nini tfsiri ya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Vyombo vingi vya habari, waandishi na watanzazaji pia msikazane kutafuta makundi ya wanasisa kwa ajili ya maisha yenu binafsi kuna mambo mengi ya kujadili muhimu kwa nchi yetu. nchi yetu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
........ WAALIMU: mgomo HATARI zaidi Kuliko mingine Katika Utumishi wa serikali kuna kada mbalimbali zikiwemo Jeshi, Uuguzi, watumishi wa serikali kuu na serikali za mitaa pamoja na mashirika...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mamlaka ya udhibiti wa manunuzi ya umma PPRA imeanza kufanyia uchunguzi mchakato wa zabuni wa kununua mafuta mazito uliosababisha mvutano kati ya TANESCO na wizara ya Nishati na Madini. PPRA...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa siku nyingi ITV ilijitwalia sifa ya kuwa chombo pekee kisichokuwa na udanganyifu ktk utoaji wa habari,habari nyingi za uhakika tumekuwa tukizipata ITV. Ni chombo pekee ambacho kilikuwa ni...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Muhimu: Arusha Mambo italeta sehemu ya hukumu inayosomwa na Judge Agustino Ramadhani jijini Nairobi, hukumu hiyo inayofuatia tukio la Kiongozi wa juu katika Serekali ya Kenya NANCY BARAZA la...
2 Reactions
34 Replies
4K Views
Leo Mwakyembe ametoa kali bungeni wakati akijibu hoja za wabunge kuwa waache kulalamika kuwa wanapokuwa nje ya nchi kama watanzania wanadharaulika na badala yake akawaambia kuwa kama mtu unaenda...
2 Reactions
52 Replies
6K Views
Wanabodi Salaam, Habari za kusikitisha hizi Jamani. Baba wa Mbunge wa Rombo ambaye pia ni diwani wa CCM Halmashauri ya Rombo yupo Mochwari. Mwenyez Mungu amempumzisha. Magamba ya Mkoa wa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
na Ashura Jumapili, Muleba WANANCHI wa Kata ya Rutoro jimbo la Muleba Kaskazini mkoani Kagera, wamesema...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimekuwa funny na mwanachama wa Chadema kwa muda sasa. Ninatamani sana 2015 Tuchukue nchi lakini kuna tatizo na challenge kubwa iliyopo mbele yetu. Hatujaweza kujitanua nchi nzima. Chadema...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…