M4C London - Mkutano mkubwa wa CHADEMA London | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

M4C London - Mkutano mkubwa wa CHADEMA London

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chilisosi, Aug 6, 2012.

 1. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #1
  Aug 6, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO CHADEMA KINAPENDA KUWATANGAZIA WATANZANIA WOTE WAISHIO LONDON NA SEHEMU ZA JIRANI KUWA KUTAKUWA NA MKUTANO WA UFUNGUZI WA TAWI LA CHADEMA LONDON. TAWI AMBALO LITAFUNGULIWA NA MHESHIMIWA GODBLESS LEMA

  UFUNGUZI HUO UTAFANYIKA THATCHED HOUSE PUB ILIYOPO BARKING SIKU YA JUMANNE 07/08/2012 AT 20:00 SAA MBILI USIKU.

  KATIKA MKUTANO HUO PIA WATACHAGULIWA VIONGOZI MBALI MBALI WA CHADEMA TAWI LA LONDON .

  TUNAWAOMBA WANA CHADEMA WOTE WAJITOKEZE KWA WINGI KUJA KUHUDHURIA TUKIO HILI LA KIHISTORIA.

  Venue ; Thatched House Pub

  RIPPLE ROAD, BARKING, ESSEX, IG11 9PG


   
 2. Z

  Zinjathropus JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2012
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 1,111
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  As it occurred to you some are in ramadan halafu unawaambia waende pub tena kabla muda wa futari au?
   
 3. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #3
  Aug 6, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kaka mkutano utaanza saa mbili na kama ujuavyo sie watanzania ni kawaida yetu kufika masaa mawili late hivyo watu watakuwa wameisha futuru by then. kuhusu venue ile ndio sehemu rahisi kufikika london na sehemu nyingi on week days parking huwa zinasumbua ndio maana tukachagua hapo. pia kumbuka wakati wa weekday ile pub ni kama hoteli ya vyakula tu watu huwa hawanywi pombe on tuesday bro
   
 4. Z

  Zinjathropus JF-Expert Member

  #4
  Aug 6, 2012
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 1,111
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Ok i was just thinking out aloud on the circumstances, apparently mmeshalifikilia usiku mwema.
   
 5. MsemajiUkweli

  MsemajiUkweli JF-Expert Member

  #5
  Aug 6, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 8,350
  Likes Received: 10,651
  Trophy Points: 280
  Ukweli husemwa:


  Watanzania kwa uchakachuaji. Jamani, Hata mualiko wa wananchi nao unachakachua.

  Kwa nini usiseme tu ni mkutano.

  Hata form za uongozi hazijatolewa achilia mbali kuwa na office. Kiongozi atafunguaje tawi kwenye Pub. CHADEMA is smart than this nonsense.

  Tunaomba msije mkamuingiza mkenge kiongozi ili baadaye aje onekana kama hana Hekima.

  Kuna jamii alikuwa na thread humu leo na alikuwa anasema mkutano unaendelea na kulikuwa na watu zaidi ya sabini wakati ni uongo wa hali ya juu kwa wapenda demokrasia nchini. Why lie?.
   
 6. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #6
  Aug 6, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,187
  Likes Received: 4,541
  Trophy Points: 280
  Hizo Pub za Wascotland muda wote makampuni ya bia yanafanya promotion kwa ajili ya Olympics ni kulewa tu siku hiyo...na wana Chadema ambao watakuwa wamefunga itakuaje.
   
 7. c

  chama JF-Expert Member

  #7
  Aug 6, 2012
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 8,006
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Hivi hakuna watu wanaoratibu safari? Kwani hili tawi lilikuwa na haraka gani kufunguliwa ndani ya mwezi mtukufu? watasema ni udini lakini tunataka watanzania wote wapate fursa hii muhimu.

  Chama
  Gongo la mboto DSM
   
 8. MsemajiUkweli

  MsemajiUkweli JF-Expert Member

  #8
  Aug 6, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 8,350
  Likes Received: 10,651
  Trophy Points: 280
  Ukweli husemwa:


  Kwani wakati mnapanga huu mkutano hamkujua kama kuna watanzania ambao tuko kwenye mfungo wa Ramadan. Hamkujua kama saa hizo zitakuwa zinaingiliana na muda wa futari. Halafu cha kushangaza jibu lako eti watanzania hawaendi na wakati. Ukisema saa mbili wanakuja saa nne. Really?. Watu wasiomakini katika chama kama ninyi mliopanga huu mkutano ndiyo mnaokisababisha chama kuwa na wakati mgumu kujibu tuhuma chafu zinazotumiwa na vyama vingine vya siasa kuwa Chama kina misingi ya Kidini.

  Mmepanga bila kuwafikilia waislamu ambao wako kwenye mfungo wa ramadan.

  Please, change the time.
   
 9. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #9
  Aug 6, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kaka ukumbuke hakuna tawi la chadema london na ndio maana tumeamua kufanya huu mkutano ili wanachama waweze kuchagua viongozi na kufungua matawi ambayo yatafunguliwa sehemu mbali mbali UK. Hio Bbar ina sehemu ya mikutano kama hoteli nyingine zozote. Ukumbuke tuko kwenye nchi ambayo ina tamaduni zake na huku pub ni kitu cha kawaida.
  Anyway utake usitake matawi yanafunguliwa kama imekuuma kaseme
   
 10. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #10
  Aug 6, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Nakubaliana na wewe.
  Lakini saa mbili ndio milango inafunguliwa na saa nne ndio mkutano utaanza rasmi.
  Tafadhali usiingize mambo ya kidini kwenye siasa sio vizuri huu ni mwezi wa toba na haitakiwi kujihusisha na mabishano yoyote ambayo yanaweza kuharibu funga ya mtu please.
   
 11. MsemajiUkweli

  MsemajiUkweli JF-Expert Member

  #11
  Aug 6, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 8,350
  Likes Received: 10,651
  Trophy Points: 280
  Ukweli husemwa:

  Tamaduni gani zinazozuia mkusanyiko wa watu kwa UK. Uingeleza ninayoijua siyo hiyo unayoingelea. Kuna kumbi nyingi za halmashauri mbalimbali London na hata makanisa yaliyokosa waumini na yamegeuzwa kuwa kumbi ni mengi tu ambayo unaweza kukodisha kwa bei ndogo. Why you choosen a Pub halafu ni muda wa futari.

  Halafu, utachaguaje viongozi bila ya kuwa na office. Are you serious?
   
 12. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #12
  Aug 6, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Watanzania sidhani kama akili zetu ziko sawa, hivi kufungua matawi nje ya nchi kuna umuhimu gani? Kuna sehemu nyingi sana nchini za kufungua matawi sasa sioni sababu ya kupeleka huu uchizi kwenye nchi za watu, tena utakuta eti wanafungua matawi kwenye gereji au kwenye pub, ndo maana wazungu wanatudhalau kila siku. Kwa spidi hii sidhani kama kuna mategemeo tena ya watz wallio nje kuijenga nchi yao maana hii ni miladi yao kujipatia riziki, ndo maanna naichukia sana siasa, yani sioni kama kuna chama cha siasa kitakachoikomboa nchi yetu. Walianza ccm, chadema nao wamefuata, what a stupid idea is that. Kama tuna nia ya kuisaidia nchi yetu tupeleke miradi kule kusiendekeze njaa kwenye nchi za watu
   
 13. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #13
  Aug 6, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kumbuka UK kuna watanzania wengi wanasoma huku , pia kuna watanzania wengi wanaoishi huku ndio maana nchi ikawa na ubalozi
   
 14. Msalagambwe

  Msalagambwe JF-Expert Member

  #14
  Aug 6, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 706
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  Huku majuu Box linapigwa 24/7,
  Halijali Ijumaa wala Jumapili,
  Waliofunga wanapiga Box kama kawa,
  labda tu wachukue likizo.
  Kufunga ni juu yako mwenyewe.
  Utukufu wa mwezi ni juu yako mwenyewe.

  Kimsingi hakuna tatizo hata kidogo.
  Labda liwe MANUFACTURED ARTIFICIALLY.
   
 15. Msalagambwe

  Msalagambwe JF-Expert Member

  #15
  Aug 6, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 706
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  CCM walipofungua tawi London ilikua HARUSI,
  CHADEMA wanafungua tawi London ni MATANGA?


   
 16. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #16
  Aug 6, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Sifa za kufungua matawi nje ya nchi mmmmh kazi kwenu
   
 17. M

  Molemo JF-Expert Member

  #17
  Aug 6, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,256
  Likes Received: 380
  Trophy Points: 180
  Hongereni sana kwa kazi nzuri.Mungu awatie nguvu.
   
 18. TabletFellow

  TabletFellow JF-Expert Member

  #18
  Aug 6, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ingekua gesti halafu baada ya ftari ingeenda? au ccm wangealika ingekua poa
   
 19. b

  baajun JF-Expert Member

  #19
  Aug 6, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 201
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nashauri tawi lisifunguliwe kwa sasa. Lema awe na mkutano na wana London kuwaeleza mstakabali wa nchi yetu na wana Londoni watoe mawazo yao. Swala la kufungua tawi linahitaji maandali.

  WANA CHADEMA UK, kaeni chini na Lema siku hiyo ya J'nne badirishaneni mawazo, harafu ufunguzi fanyeni later this year. Jaribuni kuwasiliana na uongozi wa CHADEMA USA, Muone wenzenu walifanyaje. Wanaweza kuwapa ushauri mzuri sana. chademablog.blogspot.com

  Swala lakufungua tawi sio dogo.
   
 20. j

  jmushi1 JF-Expert Member

  #20
  Aug 6, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 16,231
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 160
  watafuturishwa,kuhusiana na pombe,inawezekana ni ukumbi tu,mkutano ukifanyika sea cliff watu wanalala na kunywa pombe hapo?think,think ma friend...
   
Loading...