Je Chadema ipo tayari kuichukua nchi 2015?

No admission

JF-Expert Member
Nov 26, 2011
215
68
Nimekuwa funny na mwanachama wa Chadema kwa muda sasa. Ninatamani sana 2015 Tuchukue nchi lakini kuna tatizo na challenge kubwa iliyopo mbele yetu. Hatujaweza kujitanua nchi nzima.

Chadema imekuwa maarufu katika Miji na katika Jamii ya wasomi (Hii ni hazina kubwa). Tukumbuke kushinda Uraisi tunahitajika kwenda nchi nzima. CCM wana mizizi mpaka kwenye level ya nyumba moja moja.

Zaidi kura zake zinatoka kwa wananchi wanaowaita "Wakawaida". Hawa wakishavaa Tishirt, Vitenge na Kapelo bila kusahau Pilau na soda huwa hawafikirii zaidi wanawapa kura ya NDIYO.

Lazima kujitahidi kupeleka elimu zaidi kwa hawa watu kuliko watu wa Mijini.

Nawasilisha.
 
Na ndio maana kuna M4C ambayo itatapakaa nchi nzima hadi kufikia 2014 nadhani njia itazidi kuwa nyeupe.
Afterall watu wameichoka CCM ambayo inazidi kujiongezea maadui.

Madaktari, walimu, Wafanyakazi (hasa wa sekta binafsi), nadhani hadi kufikia mwakani Wakulima na wao wataongezeka kwenye list.
 
Na ndio maana kuna M$C ambayo itatapakaa nchi nzima hadi kufikia 2014 nadhani njia itazidi kuwa nyeupe.
Afterall watu wameichoka CCM ambayo inazidi kujiongezea maadui. Madaktari, walimu, Wafanyakazi (hasa wa sekta binafsi), nadhani hadi kufikia mwakani Wakulima na wao wataongezeka kwenye list.

Nahisi muda huu hawa watu wamuhimu kama Madakrati, walimu na wafanyakazi wengine ambao serikali inawakandamiza bila sababu ni mtaji mzuri inatakiwa tusilaze damu.

Mfano Issue ya Dhaifu kuita wafanyakazi Mbayuwayu ilifanya CHADEMA itishie na kuipa nguvu kubwa.

Je kwanini tisianzishe kampeni ya mtu kwa mtu kama na kuwa na Think Tank ya chama kama Obama anavyofanya? Simbaya kukopi jambo jema. We need to conscientize Tanzanians
 
Miaka 3 ni michache sana kwa chadema kujiimarisha na kuchukua nchi....wanahitaji miaka mingine mitano at least....
 
Mkuu No admission 'FAN' wa CDM usihofu,mikakati ipo ya maana sana tu,uzuri wake kadri tunavyopaa wenzetu wale nguo za kijani na njano zinazidi kuwaelemea,hadi 2014 wengi watakuwa wamevua na wamejivika gwanda alama ya ukombozi,werevu na upendo wa dhati kwa nchi yetu!
 
Inaweza bila wasiwasi kwani maana ya kukamata dola ni nini?maana yake ukishaapishwa dola yote polisi,jeshi ,usalama wa taifa pamoja na viomgozi wa serikali wanakutii wewe.Mandela alishika nchi ya afrika kusin iliyokuwa imeundwa na wazungu kila idara iwd jesh,usalama wa taifa lakin aliweza kuiongoza.Pia CHADEMA itakapo shinda watu wengi hata vijiwe vya CCM vitajiunga na chadema.
 
Nimekuwa funny na mwanachama wa Chadema kwa muda sasa. Ninatamani sana 2015 Tuchukue nchi lakini kuna tatizo na challenge kubwa iliyopo mbele yetu. Hatujaweza kujitanua nchi nzima.

Chadema imekuwa maarufu katika Miji na katika Jamii ya wasomi (Hii ni hazina kubwa). Tukumbuke kushinda Uraisi tunahitajika kwenda nchi nzima. CCM wana mizizi mpaka kwenye level ya nyumba moja moja.

Zaidi kura zake zinatoka kwa wananchi wanaowaita "Wakawaida". Hawa wakishavaa Tishirt, Vitenge na Kapelo bila kusahau Pilau na soda huwa hawafikirii zaidi wanawapa kura ya NDIYO.

Lazima kujitahidi kupeleka elimu zaidi kwa hawa watu kuliko watu wa Mijini.

Nawasilisha.

Kama wewe kweli Unajua psychology na ulitazama MATOKEO YA UCHAGUZI BAADA YA KUCHAKACHULIWA

Mh. Kikwete alimzidi Dr. Slaa kwa kura 800,000 tu pamoja na CCM kuwa na T-SHIRT; MA-DISCO;VITENGE;KOFIA;

KHANGA; HONGO kwa WAHUDHURIAJI; MALORI; WALI,MAHARAGWE, SIDHANI PILAU; SODA; WAANDISHI WA HABARI

KUAHIDIWA MAZURI; NA HAYO YOTE NI UFISADI CCM HELA ZILIKUWA SIO ZA KIHALALI...
 
Inaweza bila wasiwasi kwani maana ya kukamata dola ni nini?maana yake ukishaapishwa dola yote polisi,jeshi ,usalama wa taifa pamoja na viomgozi wa serikali wanakutii wewe.Mandela alishika nchi ya afrika kusin iliyokuwa imeundwa na wazungu kila idara iwd jesh,usalama wa taifa lakin aliweza kuiongoza.Pia CHADEMA itakapo shinda watu wengi hata vijiwe vya CCM vitajiunga na chadema.
 
Miaka 3 ni michache sana kwa chadema kujiimarisha na kuchukua nchi....wanahitaji miaka mingine mitano at least....

Laiti kama ungejua chadema hata uchaguzi ungekuwa kesho wangeshinda.Hapa nilipo nipo Lushoto interior huwezi amini baada ya wk2 nitakujulisha kwamba serikali za vijiji zimejiuzulu,hadi watoto wadogo wanasema ccm iondolwe kwishnei.
 
CDM ichukue nchi ipi? Labda ile ya kaskazini ya Nassari!

Haki ya ..... Ukiwa ccm huna uhuru kamili,ndiyo mijitu ya ccm imejaa ukabila,udini na ukanda[unafiki wa kimaslahi%100].NJAA KALI.TUNATANGULIA MTATUKUTA MBELE YA SAFARI.
 
Nimekuwa funny na mwanachama wa Chadema kwa muda sasa. Ninatamani sana 2015 Tuchukue nchi lakini kuna tatizo na challenge kubwa iliyopo mbele yetu. Hatujaweza kujitanua nchi nzima.

Chadema imekuwa maarufu katika Miji na katika Jamii ya wasomi (Hii ni hazina kubwa). Tukumbuke kushinda Uraisi tunahitajika kwenda nchi nzima. CCM wana mizizi mpaka kwenye level ya nyumba moja moja.

Zaidi kura zake zinatoka kwa wananchi wanaowaita "Wakawaida". Hawa wakishavaa Tishirt, Vitenge na Kapelo bila kusahau Pilau na soda huwa hawafikirii zaidi wanawapa kura ya NDIYO.

Lazima kujitahidi kupeleka elimu zaidi kwa hawa watu kuliko watu wa Mijini.

Nawasilisha.

Mkuu kumbuka huu mfumuko wa bei ndo hao hao unaowanyanyasa zaidi na kwa pigo hili la miaka 5 ya mwisho ya jk wameumia na kujuta wengi na meseji yakuwa ccm haiwafai tena inawafikia outomatically pasipo kuwahubiria na kuongoza ccm kupoteza hao wafuasi wao ambao ni walala hoi
 
Laiti kama ungejua chadema hata uchaguzi ungekuwa kesho wangeshinda.Hapa nilipo nipo Lushoto interior huwezi amini baada ya wk2 nitakujulisha kwamba serikali za vijiji zimejiuzulu,hadi watoto wadogo wanasema ccm iondolwe kwishnei.

Sawa hata mimi ccm siipendi nahamu itoke madarakani bt whats the alternative?!! Nani wachukue nchi zitto? Mdee? Lissu? Slaa? Bado sana they have got a long way to go huo ni ukweli mtukane mseme lakini huo ni ukweli
 
CDM inachukua nchi hii ya Tanzania mwaka 2015, hakuna ubishi! CCM mmejiua wenyewe kwa udhaifu mlionao, waachieni CDM nchi kwa amani bila ubishi!
 
Ili ujue ccm imekatalika kwa watz, ona wanavyosumbuka wakitaka kufanya mkutano. Ili watu waje lazima wawanunue kwanza na kuwabeba kwenye magari, wakati wenzao cdm watu wanakuja wenyewe, na wakifika kwenye mkutano wanakichangia chama. kalaga bao.
 
Miaka 3 ni michache sana kwa chadema kujiimarisha na kuchukua nchi....wanahitaji miaka mingine mitano at least....

Wazo lako ni la kichovu mno! Ina maana maandalizi yote ya kuchukua nchi huyaoni? Kumbe waoga wa mabadiliko mko wengi hivyo? Pole you.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom