Sasa nimejiridhisha,mradi wa kigamboni ni magumashi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sasa nimejiridhisha,mradi wa kigamboni ni magumashi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Maseto, Aug 6, 2012.

 1. M

  Maseto JF-Expert Member

  #1
  Aug 6, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 721
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  WAKUU,
  Niliwahi kusema hapa kuwa nimeona doa kwa Mama Tibaijuka kwa namna ambayo anashughulikia mradi wa Kigamboni.Leo katika kipindi cha Generali On Monday nimethibitisha hofu yangu hiyo kupitia kwa wazee wanaowawakilisha Wanakigamboni.Wazee hawa ambao wanaonyesha wanaijua sheria vya kutosha wanasema serikali haiko wazi kwao na haifuati sheria ya mipango miji ya mwaka 2007 katika kutekeleza mradi huo.Wazee hawa wanadai kuwa walimtaka Tibaijuka awe wazi na afuate sheria hiyo.Walipoona anakiuka sheria wakamtuma mbunge wao akawasemee bungeni na si kweli kuwa mbunge hakutumwa na wanakigamboni kama baadhi ya madiwani wa manispaa ya Temeke walivyodai.
  Mimi naona Mhe.Tibaijuka hajui kuwa hapa bongo ni usanii kwa kwenda juu; kwa hiyo anafikiri wanao mshauri wana nia njema au yeye mwenyewe ameamua kushiriki ufisadi
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,407
  Trophy Points: 280
  Je hao madiwani wanaolalamika yupo na jambazi dotto msawa?
   
Loading...