Kwa wana Serengeti: Mbunge wetu ametusaidia nini?

MUIKOMA

Member
Nov 1, 2011
35
8
Ni muda sasa tangu tumchague Dr. Kebwe kuwa mbunge wetu lakini sijui hadi sasa katufanyia nini cha kumkumbuka. Huyu bwana naona hata lugha ya kiswahili kajifunzia ukubwani. Kwa yoyote mwenye kuyajua mema yake kwetu atujuze
 
Watu waliopo Mugumu watatupati majibu sahihi. Ila fitina na majungu ni mengi sana katika siasa za huko Serengeti.
 
Atarudisha twiga waliobebwa na serikali ya handsome,kuweni na subira ameshaanza mchakato,tayari amepata mkandarasi kwa ajili ya kazi hiyo
 
Back
Top Bottom