Naitaadhalisha Serikali kuwa makini na huu utata wa mpaka wa Malawi serikali isikurupuke!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naitaadhalisha Serikali kuwa makini na huu utata wa mpaka wa Malawi serikali isikurupuke!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KakaKiiza, Aug 6, 2012.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Aug 6, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Natoa tahadhari juu ya huu mgogoro wa mpaka kwenye Ziwa Nyasa kwani serikali inatakiwa kuuchukulia kwa umakini sana huu mgogogro ni wakutengenezwa!!

  Kwani ukiangalia kuna watu nyuma ya huu mgogoro! pia kuna kila sababu Rais kutoa Kauli yake kuliko kumwachia Mh Membe..kwani katika huu mgogogro nimeona Mh Membe kajikita kwenye kusafisha njia zakuelekea uraisi 2015!!

  Ukiangalia nchi za maziwa mkuu ni nchi pekee ya Tanzainia haina migongano yakisiasa kusababisha vita baina ya nchi na nchi!au vita vya wenyewe kwa wenye hivyo kwa mantiki hiyo ni dhahili huu mgogoro ni wakupikwa!! hivyo tahadhali ni muhimu pili sioni sababu ya kutunishiana misuri kwani bado mpema!

  Tungoje kusikia kauli ya Serikali ya Malawi baada ya tamko la serikali kupitia Waziri wake wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Mh Benard Membe kusema Bungeni juu ya msimamo wa Serikali yake.
   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mgogoro wa kutengenezwa?
  na nani?
   
 3. M

  MAKAH JF-Expert Member

  #3
  Aug 6, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ni kweli kabisa kwamba kutunishana misuli hakutatoa suluhu ya kudumu. Malawi ionyeshwe sense ya yenyewe kulimiliki ziwa lote na kuwaacha wenyeji wa ziwa hilo nchi jirani wakiwa wakuja.Kwanza inasemekana sehemu ya Malawi ni 60% na 40% iliyobaki ni Tanzania na Msumbiji. Ikumbukwe wa Sudan wamechapana na at the end of the baada ya kupeana hasara wanakuja kubaliana kugawana mapato ya mafuta. Malawi ikubaliane kufanya joint venture na majirani zake katika kusaka hizo mali asili na kugawana katika ratio hiyo kama ina ukweli. Sasa hivi vitisho vya pande zote mbili ni hatari na wakati huo huo wahusika wakisema wako katika mazungumzo. Kuendesha vita ingine kama ile ya Kagera kwa Tanzania ni mtihani mgumu na hasa ukizingatia Timing. Nyerere muda ulikuwa upande wake na hauwezi kuwa vilevile daima.
   
Loading...