Sir M.D.Andrew
JF-Expert Member
- Jul 30, 2012
- 201
- 37
Kwa siku nyingi ITV ilijitwalia sifa ya kuwa chombo pekee kisichokuwa na udanganyifu ktk utoaji wa habari,habari nyingi za uhakika tumekuwa tukizipata ITV.
Ni chombo pekee ambacho kilikuwa ni tegemeo kubwa kwa watu wapenda mabadiliko kote nchini kujua hali ya kisiasa maeneo mengine,wamekuwa wakirusha habari za kisias bila kupendelea chama kama ilivyo kwa shirika la uongo tanzania TBC ambao kazi yao imekuwa ni kueneza na kuwajaza ujinga wananchi kwa kupindisha ukweli na uhalisia wa mambo, wamekuwa wakieneza ilani ya CCM hadharani na kutokurusha habari za upande wa pili mfano mkutano wa CCM JANGWANI, kwa muda sasa kasi ya ITV kurusha habari za CHADEMA imekwisha mfano M4C inaendelea hatupati taarifa tofauti na mtandaoni na magazeti,kinyume chake ITV inajikita kueleza mambo ya kujiandikisha DAR.
Na safari ya mkiti wa CCM kugawa ng'ombe kwa wanachama wenzake,,swali ni je siku hizi ITV ni tawi la TBC? Au kuna mkono wa mtu hapa?
Pengine imepigwa stop na serikali sikivu ambayo haijawahi kusikia wananchi wake? ITV mnajishushia hadhi mambo haya waachieni makada waaminifu TBC-UONGO WA UHAKIKA