mzee Msekwa achia ngazi umezeeka sana

beyanga

Senior Member
Jul 17, 2012
183
22
Kuweza kuleta madadiliko chanya katika chama cha CCM na nchini inabidi wazee kama Msekwa waachie ngazi na kuwaachia vijana tokana na ukweli kuwa wakati na mbinu zao za uongozi zimepitwa na wakati.
 
safu iayoweza kuimarisha ccm kwa kizazi kipya ni hii hapa.
1.nape katibu mkuu.
2.lusinde aka kibajaji katibu mwenezi.
3.mwigulu nchemba makamu wa mwenyekiti.
4 mshauri wa chama kupambana na upinzani hiza tambwe.
naamini hii timu itapambana na upinzani vizuri tu na 2015 ccm itarudi madarakani kwa kishindo
 
mh, kwani umejua lini kuwa msekwa kazeeka.au kwa vile kagusia tanu na chadema.ROHO MAYA WEWEWEWEWEWE!!!!!!!
 
​mie nimependa wanomrithi ni wakereketwa watakipeleka chama mbele sana hawa ndio matunda ya kikwete kazi ipo
 
tusiwashau vyangudoa kuwekwa uwt kwa wingi ili viwe mapozeo ya wakina nchemba
 
Kuweza kuleta madadiliko chanya katika chama cha CCM na nchini inabidi wazee kama Msekwa waachie ngazi na kuwaachia vijana tokana na ukweli kuwa wakati na mbinu zao za uongozi zimepitwa na wakati.

Acha haraka. 2015 tutampumzisha kwa lazima.
 
Kuweza kuleta madadiliko chanya katika chama cha CCM na nchini inabidi wazee kama Msekwa waachie ngazi na kuwaachia vijana tokana na ukweli kuwa wakati na mbinu zao za uongozi zimepitwa na wakati.

Kama akiachia Ngazi kwanini asimbebe na Mkwewe Mama Anna Abdallah? waende wakapumzike Ufukweni wale hizo

Pesa za Wabongo Tulivyo Wajinga...??
 
hawa wazee ndiowanaturudisha nyuma lakini hiyo list ya bashemere nafikiri inafaa kuifikisha ccm kaburini salama.
 
Unaposema Msekwa ni mzee kwani alikuomba umwashie moto?. Acha wivu wa kike huo.
 
Kuweza kuleta madadiliko chanya katika chama cha CCM na nchini inabidi wazee kama Msekwa waachie ngazi na kuwaachia vijana tokana na ukweli kuwa wakati na mbinu zao za uongozi zimepitwa na wakati.

Anzisha thread yenye maana. JF usiwe uwanja wa wambeya, wazanddiki na wavivu wa kufikiri.
Mimi si mwana CCM lakini unataka Msekwa aachie ngazi ili iweje na aende wapi? Hao vijana unaowataka wamezuiwa na nani kuwa viongozi? Je unajua historia ya CCM ama unaropoka tu? waache wazee wana nafasi yao na in fact ni viongozi bora hasa katika maswala ya vyama. Wewe kwa vile babako kazeeka hivyo unataka umnyang'anye haki yake ya kuwa mkubwa wa familia?
Haya maneno kasemee kule kule CCM. Hapa ongea mambo ya kujenga nchi. Angalau changia au tupe hoja za kutuelimisha tufanye nini tupunguze umaskini au tufanye nini ili jiji la Dar es Salaam liwe safi??
 
Mfumo wa uongozi wote Tz. Zee la 75 plus bado ni kiongozi. Wapishe na wengine uoga wa kuingia uraiani huo.
 
Amewachoma ccm mmechomeka. Tatizo lenu kila agusae maslahi yenu anakuwa adui yenu. Ila ukweli unauma jamani.
 
Back
Top Bottom