Mukoba: Mgomo wa walimu ni halali na umeanza leo hii!

Mukoba anasema kauli ya ikulu, yeye siyo Mahakama kwanini anaisemea mahakama. Mahakama ndo yenye kutoa kauli hiyo.
 
Sasa hivi Mukoba yuko ITV anazungumzia kuhusu mgomo wa walimu na anasema ni halali. Mwl. atakayeenda kazini in msaliti kama wasaliti wengine waliowahi kutokea katka mapambano ya ukombozi

Asubiri kutekwa akitoka tu hapo ITV ..... WAKO NJE WANAMSUBIRI
 
Mukoba anasema kauli ya ikulu, yeye siyo Mahakama kwanini anaisemea mahakama. Mahakama ndo yenye kutoa kauli hiyo.

hata mahakama waje na kanusho hatuendi job aisee! tumechoka sana tena awaambie kabisaa kwamba na wanafunzi watatujaion soon ndipo watakapoona kwamba cwt yawweza kuwa chama cha uinzani chenye nguvu kuliko chama chocote kile.
 
Mukoba..'' mwalimu anaweza kufanya kazi ya aina yoyote ile ikiwemo kushiriki katika zoezi la sensa wakati akiwa kwenye mgomo.'' anasema siwezi kumzuia mwl. kama anakang'ome ka kwake asikakamue. mfano hii part time ya kuhesabu watu.
 
walimu waligoma siku nyingi tu labda leo kama wanataka kuuonyesha umma. ''angalia matokeo ya mitahani kwa wanafunzi tangu mwaka 1994 ndo utapata kuelewa.''
 
Ahsante! Amka basi upate hata glass ya juice ya matunda mchanganyiko!!

ahsante sana mkuu hapa najipanga kwanza niamkeje manake waweza shtukia mambwepande paka muhusu Gratian Mkoba. ila wakilogwa aisee wamekwisha ndo waalim wote na wana funzi tutakapopita barabarani kwa maandaman ya kufunika mwaka.
 
Tuko pamoja, mkishindwa na walimu, basi tusubirini la wahandisi! siye hakuna kusema kitu ila ni vitendo tu kama kukata maji, fukua barabara, kata umeme, tengeneza mafuriko ya bandia, legeza daraja na hata ndege tunaweza kuziwekea milipuko ya taratibu. Kila la kheri!!
 
duh!! yaani ujue miye sijaamka kabisaa leo halafu kumbe niko duty patam hpo miye siendi hata walete greda aisee! mpaka kieleweke this time.

duh kumbe Walimu wapo wengi humu? Mie sio Mwalimu ila nagoma kumuunga mkono Wife so sijaenda kwa job.
 
duh!! yaani ujue miye sijaamka kabisaa leo halafu kumbe niko duty patam hpo miye siendi hata walete greda aisee! mpaka kieleweke this time.

Mimi ndo nafika kwenye kijiwe changu.

Niko na salari slipu mfukoni yeyote atakaye niita ntamwambia tulinganishe mishahara yetu kwani najua ofisi ya mkuu wa mkoa na DEO wana tabia ya kufuatilia siku za mgomo.
 
Back
Top Bottom