MWINYI: Miradi ya maendeleo, serikali itachangia 19 bilioni na wahisani watatoa 268 bilioni.

raymg

JF-Expert Member
Jun 30, 2012
842
214
Kwa utegemezi huu wa serikali huduma za afya zitaendelea kua duni milele mpaka hapo wananchi tukapo amua vinginevyo!

hapa chini anajisifia kwa kufanya mazuri......tafakari


  • 2011-2012 serikali ilipeleka nje ya nchi jumla ya wagonjwa 502 nje ya nchi. Kati yao watoto 225,.... 277 watu wazima, 8.4% viongozi.


  • Mwaka 2011-2012 tumeboresha huduma za vipimo katika hospitali zetu zote zikiwepo huduma za CT-SCAN, MRI, XRAY na Fluoroscopy

Lengo la wizara ya afya ni kuruhusu vifo vya akina mama 54 kati ya 1000 wakati wa kujifungua, na kutekeleza hilo tiari Jumla ya waganga wa kienyeji na wakunga wa jadi 1200 wamesajiliwa.


 
hii nchi ina watu wa ajabu sana. Watu na visomo vyao wanafurahia na kukubali kudanganywa mchana kweupe wakiwa na akili timamu. Huu upuuzi sijui utatufikisha wapi! Watu wameishiwa kabisa hata hofu ya Mungu, wamefunga,kanisani wanaenda lakini ni waongo na hawazitendei haki hata nafsi zao. Watu wanatangaza kunatangaza kupandisha hadhi hospitali pasipo vigezo vyovyote, bila maboresho yoyote. Ni upuuzi tu!
 
Back
Top Bottom