Chama cha Walimu kimekodi wahuni kufanyia fujo ambao hawatagoma

Avanti

JF-Expert Member
Aug 24, 2010
1,209
239
Ikianza kuhusishwa na siasa, nimeshuhudia baadhi ya walimu akiwepo ndugu yangu wametahadharishwa kuondoka sehemu ya kazi kwani kuna wahuni ambao wamelipwa ili kwenda kufanyia fujo walimu ambao hawatagoma. Pamoja na CWT kuwalipa walimu wakati wakiweka saini zao ili wagome kuna chama cha sisa pia inasemekana kimesaidia kutafuta wahuni ili kwenda kuwafanyia fujo wale viherehere wasiotaka kugoma. Chama chenyewe inasemekana ni kile kilichokaa na kujiimarisha kifujo fujo - kwa ushahidi mzuri tembelea baadhi ya shule kuanzia Magomeni hadi Mbezi kwa wale wa Dar walw wa Arusha mitaa ya Njiro na Kijenge, Dodoma pale Kizota.

Avanti.
 
Hayo ni majibu rahisi kwa maswali magumu. Mnatakiwa mtatue kero ze walimu na sio kutafuta "mchawi". Mchawi wa migomo ni nyie wenyewe. Msikwepe wajibu wenu kwa kuwasingizia wasiohusika.
 
Waambie wao!
 
Ikianza kuhusishwa na siasa, nimeshuhudia baadhi ya walimu akiwepo ndugu yangu wametahadharishwa kuondoka sehemu ya kazi kwani kuna wahuni ambao wamelipwa ili kwenda kufanyia fujo walimu ambao hawatagoma. Pamoja na CWT kuwalipa walimu wakati wakiweka saini zao ili wagome kuna chama cha sisa pia inasemekana kimesaidia kutafuta wahuni ili kwenda kuwafanyia fujo wale viherehere wasiotaka kugoma. Chama chenyewe inasemekana ni kile kilichokaa na kujiimarisha kifujo fujo - kwa ushahidi mzuri tembelea baadhi ya shule kuanzia Magomeni hadi Mbezi kwa wale wa Dar walw wa Arusha mitaa ya Njiro na Kijenge, Dodoma pale Kizota.

Avanti.

yawn: kawaambie mbinu hii haiwasaidii, wanaweza kuyaponza majengo ya halmashauri, manake wananchi wakichachamaa kudai haki ya watoto wao watatumbukizia, hata kama si rasmi, hasira za mifuko ya jamii i.e nssf, ppf/kristapen, lapf n.k
 
unajitahidi sana kufanya kazi yako!!!!lakini hujui hata wewe ni mwathirika wa tatizo la huu mgomo.siku ukikiua autaacha,saizi umri unakuruhusu kuwa kibaraka maana hata majukumu huna.ukitoka hapo unaenda kwa maza kula ftali.
 
Mbinu za wanafunzi wa chuo hizo wakidai mkopo! Na huwa zinawaponza sana! Naona wajarIbu nyingine na si hii! Itawagawa wenyewe kwa wenyewe!
 
Ikianza kuhusishwa na siasa, nimeshuhudia baadhi ya walimu akiwepo ndugu yangu wametahadharishwa kuondoka sehemu ya kazi kwani kuna wahuni ambao wamelipwa ili kwenda kufanyia fujo walimu ambao hawatagoma. Pamoja na CWT kuwalipa walimu wakati wakiweka saini zao ili wagome kuna chama cha sisa pia inasemekana kimesaidia kutafuta wahuni ili kwenda kuwafanyia fujo wale viherehere wasiotaka kugoma. Chama chenyewe inasemekana ni kile kilichokaa na kujiimarisha kifujo fujo - kwa ushahidi mzuri tembelea baadhi ya shule kuanzia Magomeni hadi Mbezi kwa wale wa Dar walw wa Arusha mitaa ya Njiro na Kijenge, Dodoma pale Kizota.

Avanti.

Mie nilitaka kushangaa CDM kwenye hili kweli wasiwemo, kwani madaktari walikuwemo, vyuo vikuuu wamo, na hii sasa walimu wao. CDM mna laana gani nyie zebu waambieni watanzania ? kwani ni kama mti wa ubuyu haufai kwa mbao wala mkaa
 
Ndo thread ya kutuletea sisi waletee maendeleo watz sio kufaulisha watoto wasiojua hata kusoma/......
 
Ikianza kuhusishwa na siasa, nimeshuhudia baadhi ya walimu akiwepo ndugu yangu wametahadharishwa kuondoka sehemu ya kazi kwani kuna wahuni ambao wamelipwa ili kwenda kufanyia fujo walimu ambao hawatagoma. Pamoja na CWT kuwalipa walimu wakati wakiweka saini zao ili wagome kuna chama cha sisa pia inasemekana kimesaidia kutafuta wahuni ili kwenda kuwafanyia fujo wale viherehere wasiotaka kugoma. Chama chenyewe inasemekana ni kile kilichokaa na kujiimarisha kifujo fujo - kwa ushahidi mzuri tembelea baadhi ya shule kuanzia Magomeni hadi Mbezi kwa wale wa Dar walw wa Arusha mitaa ya Njiro na Kijenge, Dodoma pale Kizota.

Avanti.

Pole ndugu na TBCCM mnaoleta propoganda za kijinga ,mbona hawajaoonyesha hizo picha za walimu waliochapwa viboko? Acheni ujanjaunja huo ,watanzania sio wajinga eti kila kitu mkono wa siasa kwani ikilu sio ya wanasiasa waweke order ya mahakama iliyozuia mgomo tuione kazi yao ni siasa tu walimu wamewastukia
 
Hakuna kitu hapa mi naona ni ujinga tu iwe ni siasa sio siasa ngoja tuone
 
Matatizo ya akili ndogo kutawala akili kubwa.

Kwahiyo sasa mnataka kumtuma tena Ramadhani Ighondu akamteke na kumtesa Gratian Mkoba na baadaye amtupe Mabwepande?!
 
Ikianza kuhusishwa na siasa, nimeshuhudia baadhi ya walimu akiwepo ndugu yangu wametahadharishwa kuondoka sehemu ya kazi kwani kuna wahuni ambao wamelipwa ili kwenda kufanyia fujo walimu ambao hawatagoma. Pamoja na CWT kuwalipa walimu wakati wakiweka saini zao ili wagome kuna chama cha sisa pia inasemekana kimesaidia kutafuta wahuni ili kwenda kuwafanyia fujo wale viherehere wasiotaka kugoma. Chama chenyewe inasemekana ni kile kilichokaa na kujiimarisha kifujo fujo - kwa ushahidi mzuri tembelea baadhi ya shule kuanzia Magomeni hadi Mbezi kwa wale wa Dar walw wa Arusha mitaa ya Njiro na Kijenge, Dodoma pale Kizota.

Avanti.

Pure speculation & hallucination.
 
Matatizo ya akili ndogo kutawala akili kubwa.

Kwahiyo sasa mnataka kumtuma tena Ramadhani Ighondu akamteke na kumtesa Gratian Mkoba na baadaye amtupe Mabwepande?!

Mkuu hawa watu ni majuha wa kutupwa,si ajabu saivi badala ya ku angalia wanamaliza vp mgomo,utakuta wamekaa kikao kumjadili mkoba na jinsi ya kumshughulikia! a SICK GOVT!
 
Je wamewalipa na wale waliofanya vurugu sehemu nyingine maana nimesikia huko Lushoto pia walimu wamewapiga walimu wenzao!! kwa hali hio unamaanisha nchi nzima imejaza wahuni? No no think twice
 
je wamewalipa na wale waliofanya vurugu sehemu nyingine maana nimesikia huko lushoto pia walimu wamewapiga walimu wenzao!! Kwa hali hio unamaanisha nchi nzima imejaza wahuni? No no think twice

mkuu umesahau majambazi 100 wamevamia mgodi nyamongo!
Hii inamaana watz woote majambazi
 
Back
Top Bottom