Mnyika azidi kufunga kuhusu tuhuma dhidi ya wabunge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnyika azidi kufunga kuhusu tuhuma dhidi ya wabunge

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Paparazi Muwazi, Jul 30, 2012.

 1. P

  Paparazi Muwazi JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2012
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 310
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Waziri Kivuli wa Nishati na Madini ambaye ndiye aliyetangulia kuanika bungeni kuhusu ufisadi wa TANESCO na tuhuma za ufisadi dhidi ya baadhi ya wabunge kuhusu ununuzi wa mafuta, kabla ya Waziri wa Nishati na Madini naye kuthibitisha madai hayo; amefunga tena na kutaka hatua zaidi kwa bunge zima kama alivyozieleza katika mtandao wake:JOHN MNYIKA: Kufuatia uamuzi wa Spika wa Bunge jana jumamosi tarehe 28 Julai 2012 kukubali kuvunja Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini nimetakiwa kutoa maoni yangu kuhusu uamuzi husika kwa nafasi yangu ya Waziri Kivuli wa Nishati na Madini
   
 2. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #2
  Jul 30, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
Loading...