Spika aondolewa ulinzi

Amiliki

JF-Expert Member
May 6, 2011
2,085
1,004
Sijajua mpaka sasa tafsiri yake ni nini, lakini lililotokea ni kwamba wale askari wa FFU waliokuwa wanailinda nyumba ya Mh. Spika wetu kipenzi wamepewa amri ya kuondoka na kuacha lindo hilo la nyumba binafsi ya Mh. Spika.

Kwa barua waliyosomewa Askari hao ni kwamba kwa sasa Mh. Spika inabidi ajitafutie walinzi binafsi wa kuendelea kutoa ulinzi nyumbani kwake eneo la Kijitonyama Dar es Salaam.

Source:
Ni rafiki yangu ambaye mdogo wake ni mmoja wa Askari waliokuwa wanailinda nyumba ya Mheshimiwa.
 
alikuwa analindwa na ffu? kwake kuna vurugu gani hivo?
Wewe huwa daima ukipita maeneo ya Mabenki unapowaona FFU wanalinda, basi unajua kumetokea vurugu! Be Sensible.
 
Ni baada ya eneo hilo kuwa shwari,hakuna tena tishio la vurugu.

source:Kova ni kaka yangu,ninaishi kwake,alituambia hivo jana usiku
 
Ni baada ya eneo hilo kuwa shwari,hakuna tena tishio la vurugu.

source:Kova ni kaka yangu,ninaishi kwake,alituambia hivo jana usiku

Ukinijibu hapa kweli ntaamini uliyoyaandika,"umwari jachuri? mavuko joli?"
 
Nakumbuka hapo nyuma kulitokea vurugu baada ya bibi K kufunga njia nadhani ndio wakaletwa hao kina Ras makunjaa na magitaa yao kulinda hapo!
 
Ni baada ya eneo hilo kuwa shwari,hakuna tena tishio la vurugu.

source:Kova ni kaka yangu,ninaishi kwake,alituambia hivo jana usiku
yani unaishi kwa kaka yako mpaka umri huo du?
 
Sijajua mpaka sasa tafsiri yake ni nini, lakini lililotokea ni kwamba wale askari wa FFU waliokuwa wanailinda nyumba ya Mh. (Spika wetu kipenzi )wamepewa amri ya kuondoka na kuacha lindo hilo la nyumba binafsi ya Mh. Spika.
Kipenzi chako peke yako
 
Mama yangu kumbe kwa Spika na kwenyewe kunakuwa na migomo, vipi kulikuwa na maji ya kuwasha pamoja ma mabomu ya machozi.........lol......
 
Emancipate yourself from mental slavery none but yourself can free your mind.... you have not to fear for atomic energy coz none of them can stop the time.. wake up from sleeping slumber kama bado unasema bi kiroboto ni kipenzi.
 
Back
Top Bottom