Zitto kabwe vs mgomo wa walimu kipi muhimu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zitto kabwe vs mgomo wa walimu kipi muhimu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BINARY NO, Jul 30, 2012.

 1. B

  BINARY NO JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 180
  Inashangaza kuona LEO mgomo wa walimu umeanza na kwa taarifa shughuri nyingi za kitaaluma zimekwama, watoto wameenda shule kucheza,wengine wamerudishwa, walimu waaoga wameenda mashuleni kupiga domo bila kuingia madarasani lakini Habari inayojadiliwa sana na kuhusu ZITTO
   
Loading...