Wajue Viongozi Wa CCM Washington DC | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wajue Viongozi Wa CCM Washington DC

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Muke Ya Muzungu, Jul 30, 2012.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  upande wa pili wa CCM, tunasikia matawi yanayoanzishwa ughaibuni kuwa ni vituko. baada ya kuiona kideo ya ndugu wa wawili wakitapika pumba kuwa ni makatibu wenezi, naomba, kwa heshima na taadhima tuwafahamu hao viongozi wa chama chatu na jinsi walivyochaguliwa.

  Kuna tetesi na malalamiko kwamba watu (wapenzi) walipeana vyeo. Wenyeviti wa CCM vijiji/kata walio na wanachama wengi hawapewi kipaumbele kama hawa wacheza taarabu sijui watapika pumba. Tunaomba majina na wasifu wao

  1..Mwenyekiti...?
  2..Katibu.....?
  3..Katibu Mwenezi...?
  4..Mweka Hazina...?
   
Loading...