Serikali itunge sheria kuwazuia wabunge kupeleka watoto wao kusoma shule za binafsi

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
233
Nadhani sasa wakati umefika kwa wenye mapenzi ya nchi hii kushinikiza serikali itunge sheria ya kuwazuia Wabunge na mawaziri wasisomeshe watoto wao shule za binafsi na zile za nje. Sheria iwalazimishe kuwapeleka watoto wao shule za serikali na zile za kata.

Hii itasaidia viongozi wetu hawa kuziboresha shule zetu (za serikali) ambazo kusema kweli ziko hovyo kabisa kutokana kwa tabia ya kutojali kitu kwa viongozi hawa.

Nasikavyo Uingereza wanayo sheria ya namna hii.

Hii sheria pia itasaidia kuondoa matatizo mengi katika tasnia yetu ya elimu kama vile huu mgomo unaoendelea!
 
Serikali yetu hii haiwezi kutunga sheria nzuri kama hiyo. Usiote ndoto.
 
Back
Top Bottom