Ameulizwa Pinda mbona alisema madeni yote yamelipwa?
Anasema akumskia..ila amekubali madeni yapo.
anasemaje mkuu.wengine hatuna access na hiyo media kaka...
mbona ana PhD ...au hiyo doctorate yake ni kama ya Mzee Mh. Mrema, JK nk?Kama kuna waziri incompetent kabisa ni Kawambwa, lakini ni unajua ni wa kwetu Bagamoyo?
anasema mishahara haichelewi..mwalimu kapiga simu kauliza mbona yeye hadi asubuhi hii ajaingiziwa mshahara?
Waziri kaanza kuongelea ishu zingine kashindwa kujibu.
Hao ndo jk anapenda wawe mawaziri aweze kuwa outshine na yeye aonekana mtendaji mzuri kuliko wao
Kwa kweli jamaa nilimuona jana kwenye press conference, naona kama ana tatizo la kuongea kwenye public..alishindwa kuongea kabisa.. yaani kama kuna kitu kinamzuia kuongea sawa sawa.