Mkapa ainanga serikali ya Kikwete | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkapa ainanga serikali ya Kikwete

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Raia Fulani, Dec 8, 2011.

 1. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #1
  Dec 8, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Akizungumza katika mkutano wa Mkapa HIV Foundation, kasema lazima taifa hili lijiheshimu na lirudishe heshima yake kwa kutumia sera yake ya kujitegemea.

  Kasema kasoma makala fulani kupitia laptop yake kuwa Tanzania ni ya tatu duniani kwa kuomba ikitanguliwa na Afghanistan na Irak.


  Maoni yangu:
  Kiukweli hii ni aibu kwa serikali ya 'handsome' boy kuomba hivyo. Hivi Tanzania tangu vita ya nduli hadi leo ndo imetuathiri kiasi hiki? Akina irak tunawasamehe kwa madhila waliyopitia. Tanzania umepitia madhila gani? Hii ni aibu kwa JK.

  Chanzo: ITV NEWS
   
 2. JJ Masselo

  JJ Masselo Member

  #2
  Dec 8, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mmmmmmmmh!!!!!!!!! yaani kwa maneno mengine hata Somalia wanatuzidi????????? Jamani daaaah!!!!!!! I heti politics totally
   
 3. Possibles

  Possibles JF-Expert Member

  #3
  Dec 8, 2011
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 558
  Trophy Points: 280
  This is too much. Wakati huyu handsome akiingia magogoni alizunguka dunia nzima kujitambulisha. Leo ndo tumejua ziara zote zile zilikuwa ni za kuombaomba. Halafu wanasema eti ziara za huyu handsome zina tija kwa nchi kumbe kutuchafulia heshima.
   
 4. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #4
  Dec 8, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  ni kweli. Hata somalia wametuacha. Tusi la Cameron liliwalenga watu kama jk
   
 5. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #5
  Dec 8, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Zina tija mkuu,hujaskia kwamba tunaenda kuwa twanga wa iran tukiwasaidia wamarekani?
   
 6. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #6
  Dec 8, 2011
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  Baada ya maovu yote aliyotufanyia hili taifa ikiwa ni pamoja na kutuwekea serikali ya sasa, bado ana ubavu wa kuongea! Only in Tanzania.
   
 7. Y

  Yetuwote Senior Member

  #7
  Dec 8, 2011
  Joined: Jul 22, 2010
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni aibu taifa kuwa omba omba. Hatuna sab
  abu ya kuwa omba omba wakati tuna rasilimali lukuki. Matatizo haya yote yanaletwa na uongozi mbovu wa kitaifa. Ni aibu kutetea uovu kwa kivuli cha udini. Kama tunalika taifa hili lazima tubadilike, tuache tabia ya kubebana na kuoneana aibu. Kikwete anahaki ya kubebeshwa lawama zote za matatizo haya.
   
 8. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #8
  Dec 8, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Za kujitambulisha zimeisha.Bado za kuaga.
   
 9. SOBY

  SOBY JF-Expert Member

  #9
  Dec 8, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 1,265
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mkapa anatia kinyaa!
   
 10. Y

  Yetuwote Senior Member

  #10
  Dec 8, 2011
  Joined: Jul 22, 2010
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  si chama chenu? Mkapa angefanyaje?
   
 11. J

  JABEZ Member

  #11
  Dec 8, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nadhani kuna watu wajinga tu kwa kuzaliwa: sasa mtu kusema kwa sisi ombaomba ukatoliki au dini yake inaingiaje hapo? Watu hawa ndio watachelewesha ukombozi. Na ukombozi ukija tutaanza kuwanyonga wao kwanza maana ni nuisance!
   
 12. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #12
  Dec 8, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,344
  Likes Received: 391
  Trophy Points: 180
  Jumlisha na Ethiopia, Matajiri wa Tz walienda Ikulu kwa baba riz, kuchangia Somalia njaa. Masikini hawakujua kumbe somalia ni matajiri na hawaombi km TZ, Wenye rasilimali kibao. Aaaaibu sana. Ndo maana wanatuletea masharti ya kicameroon.
   
 13. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #13
  Dec 8, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  serikali ya sasa kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali iliwekwa hapo kwa nguvu ya vikundi. Na Mkapa hakuwa upande wa jk. Muulize lowassa ilikuwaje jk yuko madarakani.
   
 14. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #14
  Dec 8, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Ikitokea tajiri kama Mengi awe anatembeza bakuri anaomba pesa mtamwelewa kweli? Ndo tz ilivyo ina mali lukuki
   
 15. M

  Mzee Madoshi Senior Member

  #15
  Dec 8, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Atawale, atawala tu mwacheni JK atawale. Ni zamu yake naye kutawala kwa mtindo anaoona unafaa
   
 16. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #16
  Dec 8, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Subiri atakavyo anza kuzunguka akiaga nchi rafiki ili rais ajaye aendeleze mazuri.
   
 17. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #17
  Dec 8, 2011
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  1. ..kama siyo kusafiri "mngekufa na njaa" by JK
  2. ..kama si safari za rais nje, hali ingekuwa mbaya by Membe
  Ila kama kuna mfuatiliaji wa hotuba za JK, nakumbuka alipokuwa anazindua mradi wa barabara wa arusha na wakuu wa EAC, alisema kauli moja ambayo ndiyo kauli mbiu yake kuwa mtu anapoahidi ni vema kumfuatilia "..ni vizuri kukumbusha, yaani mzee unakumbuka ule mzingo uliotuahidi" by JK. Kwa maana hiyo jamaa ni mtalaamu wa kuomba na pia ni mfuatiliaji, alifaa sana kuwa mhasibu!
   
 18. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #18
  Dec 8, 2011
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  Sema Taifa letu Mkuu!
   
 19. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #19
  Dec 8, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  tatizo jk anamfuatilia mtoa ahadi hadi faraghani, na ndio maana hizi ripoti za kuombaomba zinawekwa hadharani hivi ku discourage haka kamchezo.
   
 20. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #20
  Dec 8, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Kwa hiyo ina maana nchi hii imeomba mpaka waingereza wanataka wa i CAMEROUN BONGO!
   
Loading...