Polisi kanda maalum tarime wamezuia mkutano cdm leo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi kanda maalum tarime wamezuia mkutano cdm leo.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by OMUSILANGA, Jul 31, 2012.

 1. O

  OMUSILANGA JF-Expert Member

  #1
  Jul 31, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 384
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndiyo wakuu! Katika hali ya kuendelea kutapatapa kwa serikali ya ccm wakati miti yote inateleza , imejitokeza tena leo ktk wila ya ya Rorya baada ya polisccm kuzuia mkutano wa hadhara wa cdm ktk kata ya Nyathorongo kwa kisingizio cha mgomo wa walimu. Mikutano hii ni operation inayo endelea jimboni Rorya ktk kuendeleza harakati na kutoa elimu ya uraia kwa wananchi chini ya uratibu wa Kamanda Odelo Odelo pamoja na wapiganaji wengine. Kutapatapa huku mara ohoo! Suala liko mahakamani, kufunga magazeti (mwanahalis) pamoja na vitisho kamwe si suluhu kuelekea Tanzania tuitakayo. Waungwana wanasema "SIKU MJINGA AKIJITAMBUA, MWEREVU YUPO MATATANI ". Pamoja sana makamanda,mpaka kieleweke.
   
 2. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #2
  Jul 31, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Ni sawa na kuzuia mafuriko! Bado kidogo watasombwa na kusahaulika!
   
 3. chitalula

  chitalula JF-Expert Member

  #3
  Jul 31, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,307
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  mmh kwa stahili hiyo ipo siku watazuia mkutano na sababu watasema kuwa " Raisi amesafiri"
   
 4. m

  mamajack JF-Expert Member

  #4
  Jul 31, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Wanaziba mwanga wa jua kwa kipande cha kanga ili walete goza.duh.pole yao.
   
 5. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #5
  Jul 31, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,832
  Trophy Points: 280
  hahahahahahahahahahahahahaha
   
 6. M

  Mendelian Inheritanc Member

  #6
  Jul 31, 2012
  Joined: Dec 25, 2011
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CDM ni kama mvua ikiamua kunyesha inanyesha tu, chezea makamanda ww?
   
 7. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #7
  Jul 31, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Mtu anajificha mvua chini ya net, totally useless.
   
 8. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #8
  Jul 31, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  vijana wa rorya
   
Loading...