Moto huu wa CHADEMA Morogoro vijijini hakuna wa kuuzima 2015

MI6

Senior Member
Jul 19, 2012
175
20
Nimekuwa napata bahati sana ya kukutana hawa jamaa wa CDM hapa Moro wakiwa na mikutano Moro vijijini aisee jamaa wamepania kumtoa mtu kwenye sofa lake 2015.
 
Hakuna jimbo linaloitwa Morogoro Vijijini! Hakuna Wilaya inayoitwa Morogoro Vijijini! Huu msamiati umeutoa wapi?
 
anamaanisha MOROGORO KUSINI kule kisaki, matombo, ngerengere, mvuha, mkuyuni, duthumi, etc kwa mbunge mama Lucy Nkya, huyu maza kashindwa wizara ya afya na ubunge nao umeshamshinda, M4C inamngojea 2015 kumng'oa.
 
Morogoro Kusini(Matombo, Kisaki, Dutumi, Tawa, Kibungo juu, Kibungo chini, Mvuha) mbunge wake ni Inocent Kalogeresi. Lucy ni wa Morogoro Kusini Mashariki - Kiloka, Mkuyuni, Kinole, Ngerengere, Kidugalo, Tununguo, Mkambarani, Mikese, Kibuko.
 
thanx kwa MUONGOZO mkuu!.
 
Back
Top Bottom