Mh. Rais tunakusubiria speech yako!!

Sizinga

Platinum Member
Oct 30, 2007
9,101
6,027
Ikiwa tena mwisho wa mwezi na nchi ikiwa kwenye hali mbaya kiutawala,sijui huyu muheshimiwa atakuja na majibu gani kwenye masuala ya msingi yanayohusu mustakabali wa Taifa hili. Migomo ya madaktari,migomo ya walimu,sheria wza mifuko ya hifadhi,ajali ya MV Stagit,Rushwa iliyokithiri bungeni..nk,n.k....Ngoja tuone.
 
Ni kuwambia tu mgomo haukubaliki ,hutaki huridhiki na mshahara andika barua ya kuacha kazi ,vinginevyo utafukuzwa na kufunguliwa mashtaka.
 
mkuu utamsikiliza kweli?
dah! mie naomba nisikie sauti yake akiwa mahakamani anajitetea lakini si sasa.
 
Nimesikia yuko busy kuwatafuta vile vibabu vinavyoitwaga Wazee wa Darisalama aongee nao kwanza, lakini sasa safari hii itakua ngumu kuongea nao kwakua vimefunga kwahiyo ile karamu wanayoandaliwaga kabla ya speech haitawezekana.
 
I dont expect any concrete speech from Mukulu. Afadhali nikaangalie Olympic kuliko kumsikiliza maana itakuwa kujiletea hasira tu.
 
Aiseee! Harafu mwaka huu bado hajafuturisha hivyo nadhani afanye hivyo kwanza then atumie hiyo chance...na ule mkakati wao wa kugomea sensa sijui umefikia wapi!
 
Hotuba itakua nzuri tu,tusiwe na wasiwasi.Kwa hali kama hii,walimu wataambiwa waache mgomo kwani swala lao lipo mahakamani,wachanganye akili zao na zakuambiwa na CWT(kama mbayuwayu na kong'otwa) vinginevyo watatiwa nundu(kulimbokwa) halafu watakaa kujadili,wabunge wala rushwa wasiwe na wasiwasi,ni upepo tuu hivyo unapita au warudishe hizo hela ili wasamehewe na mwishoni LIWALO NA LIWE!!
 
Atatoa amri ya akina Mkoba kuuawa,huyu ni Raisi jini,pepo,muuaji mkandamizaji dicteta amefika mwisho wa kufikiri amepalalyse nchi haiendi kabisa lakini unamuona an brush viatu anayenyuka kwenda kuzurura what a wasted decade
 
Nashangga kwamba bado kuna watz wanasubiria rais dhaifu aseme chochote ili wapate unafuu.....nyie ndio ambao hata ikifika 2015 bado mtataka kusikia kikwete anasemaje.....we unataka kikwete akwambie nini?....au arudie kusema wanafunzi wanaopata mimba ni kwa sababu ya kiherehere chao? Au unataka akwambie liwalo na liwe? Au unataka aseme hata kama kura za wafanya kazi sizitaki? Au mpaka akwambie asiyetaka kufanya kazi aache?...mbona watz wagumu kuelewa hivyo ?ndiyo maana mkapa aliwaambia watz wavivu wa kufikiri na hakufanywa kitu...
Kikwete kakimbia nchi imemshinda mwacheni atulie zake
 
Sdhani hata kama Mfungo wa Jk Unapokewa na Mungu ....shida kila kona bora asifunge mwezi mtukufu huu!
 
Tangu MKAPA alipoachia urais sikumbuki kama nilikaa kusikiliza utumbo wa Jua Kali na serikali yake. Hana plans ni kujibu vijembe kama yuko katika kikao cha kahawa na kachori.
 
Ni kuwambia tu mgomo haukubaliki ,hutaki huridhiki na mshahara andika barua ya kuacha kazi ,vinginevyo utafukuzwa na kufunguliwa mashtaka.

Kwa namna hiyo, basi watumishi wote walio serikalini watafukuzwa kazi. Inaelekea SERIKALI inataka kujitoa katika utumishi wa TAIFA na hivyo kuiachia sekta binafsi pamoja na wawekezaji.
 
Ninapokuwa na remote sebuleni huwa hata sitaki kugongana na speech za huyo jamaa katika any TV programme
 
Back
Top Bottom