Idara ya serikali inayoongoza kwa ufisadi Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Idara ya serikali inayoongoza kwa ufisadi Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by thread critic, Jul 31, 2012.

 1. t

  thread critic Member

  #1
  Jul 31, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sidhani kama hata ile idara ya procurement pale BOT wanaweza kuwashinda hawa Tanesco kwa ufisadi uliokithiri. TRA peke yake ndio itakuwa inawazidi Tanesco kwa rushwa Tanzania

  Lakini mkitaka kujua ufisadi unavyofanya kazi tazameni:

  1. Valuation team za hii tender board ina comprise akina nani

  2. Muda gani wanakaa kufanya valuation

  3. Appeals zilizopelekwa na watu waliochakachuliwa kwenda PPRA na PCCB na kwenye management ya Tanesco

  4. Tazameni barua wanazopewa wanaokosa tenda pale TANESCO zinaandikwaje? na kwa nini haielezwi sababu ya kampuni kokosa kazi

  5. Tender board wanapewa documents masaa mangapi na hii team ya valuation kabla hawajaamua nani apewe tender

  6. Je Tenderboard ya TANESCO iko na akina nani.

  7. Legal team ya TANESCO kwa nini wanapitisha haya madudu?

  8. Mara ngapi TANESCO wamekiuka miiko na masharti ya PPA2004?

  Baada ya hapo mtajua kwanini nimesema kuwa idara ya procurement na inaongoza kwa rushwa na ufisadi Tanzania.
   
 2. b

  bdo JF-Expert Member

  #2
  Jul 31, 2012
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,711
  Likes Received: 1,611
  Trophy Points: 280
  hapa unaongelea idara zipi? za TANESCO, PCCB, BOT au TRA? sijakupata
   
Loading...