Madiwani wa CHADEMA Arusha kususia mapokezi ya JK kesho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madiwani wa CHADEMA Arusha kususia mapokezi ya JK kesho

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwan mpambanaji, Aug 1, 2012.

 1. M

  Mwan mpambanaji JF-Expert Member

  #1
  Aug 1, 2012
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 468
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Wanabodi
  Taarifa za uhakika kutoka miongoni mwa madiwani wa CHADEMA manispaa ya Arusha,zinasema kuwa hawatashiriki mapokezi ya Rais wa JMT anayetarajiwa kufika Arusha kesho,Awali madiwani wote walipaswa kumpokea Rais Kikwete kesho saa nne kwenye uwanja wa ndege wa Arusha.Kwa mujibu wa madiwani wa CHADEMA wanapinga kupewa short notice tena kwa simu kinyume na kanuni,pia kwa kuwa Meya atashiriki hayo mapokezi na wao hawamtambui
  Je ni halali madwani kukataa kumpokea Mh Rais?
   
 2. b

  binbinai Member

  #2
  Aug 1, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Ni halali utampokeaje mtu aliechakachua sheria na taratibu za uchaguzi? Yeye ni baba wa ccm,pinda na mkuchika wote waliohusika kupandikiza wizi na ubakaji wa demokrasia hapa arusha!
   
 3. b

  bashemere Senior Member

  #3
  Aug 1, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ​hawana haja ya kwenda kwani ccm iliiba kura za meya
   
 4. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #4
  Aug 1, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Waende ili iweje?
   
 5. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #5
  Aug 1, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  Hahahaha...halafu?
   
 6. Cheche Mtungi

  Cheche Mtungi JF-Expert Member

  #6
  Aug 1, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 2,487
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Mimi yangu macho!
   
 7. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #7
  Aug 1, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  Hao madiwani Komedi, sidhani kama structure ya uongozi wanaijua. Kwenye mapokezi ya rais wao hawana tofauti na wafagiaji wa pale KIA, hawana ruhusa hata kusogea mita 100.
   
 8. m

  majebere JF-Expert Member

  #8
  Aug 1, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,520
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  Wana umuhimu gani hao? Waende au wasiende,hakuna litakao pungua. Naona siku hizi hata madiwani nao unawasikia.
   
 9. S

  Sessy Senior Member

  #9
  Aug 1, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 118
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni halali kabisa mkuu pia wana uhuru wa kutoa maoni yao
   
 10. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #10
  Aug 1, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  Hapo madiwani wenyewe ndio akina Nanyaro, hata kufugia nywele vichwa vyao havitoshi.
   
 11. Timtim

  Timtim JF-Expert Member

  #11
  Aug 1, 2012
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 603
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Kiburi kimewajaa
   
 12. Young Tanzanian

  Young Tanzanian JF-Expert Member

  #12
  Aug 1, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,740
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Duhhhhhhhhhhhhh
   
 13. F

  Froida JF-Expert Member

  #13
  Aug 1, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Wataendaje kumpokea raisi anafanya mambo yake kama Mbayuwayu
  nchi haitawaliki tena umaskini umekithiri fujo kila mahala madaktari,waalimu,wakulima,wafanyakazi migodini huyo mtu mzembe wa aina hiyo ni wakumpa heshima hata ya kumpokea atokomee huko hana maana kwenye nchi hii raisi mbaya kuliko wote ameharibu nchi ni wakupopotoa manyanya tuu huyo
   
 14. m

  majebere JF-Expert Member

  #14
  Aug 1, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,520
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  mawazo mgando, hii ndio faida ya kutumia ubongo wako kichama.
   
 15. m

  majebere JF-Expert Member

  #15
  Aug 1, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,520
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  si kiburi, ni upumbavu ndio umewajaa
   
 16. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #16
  Aug 1, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Wangeenda ningewashangaa sana!
  Kikwete anawakomoa watanzanzania kwa sababu hawakumchagua, na yeye anajua hakuchaguliwa na watanzania!
   
 17. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #17
  Aug 1, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Wana haki ya kutompokea tena chanzo inasema wamepewa hbr short time sasa ya nini kumpokea?


  Hivi anakuja kuangalia miradi yake ama??
   
 18. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #18
  Aug 1, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Wakuu mmepewa kichwa kwa ajili ya kufikiri, siyo kufugia nywele!
  Mnadhani nani mpumbavu kati ya anayekwenda kupokewa na anayepinga kwenda kumpokea?
  Jibu liko wazi mpumbavu nani na werevu ni akina nani!

   
 19. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #19
  Aug 1, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160


  Ila hakika anajikomoa mwenye Mkuu yani ameipa wakati mgumu chama chake kwa ujumla!
   
 20. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #20
  Aug 1, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Anaelekea Serengeti kwenye hoteli yake?. Mtalii mkubwa huyo.
   
Loading...