Mjadala: Side Comments: Tathmini ya Utawala wa Rais Kikwete (2005-2012) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mjadala: Side Comments: Tathmini ya Utawala wa Rais Kikwete (2005-2012)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Fang, Jul 24, 2012.

 1. Fang

  Fang Content Manager Staff Member

  #1
  Jul 24, 2012
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 489
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  The topic speaks for itself.

  The main thread can be found here:
  https://www.jamiiforums.com/great-thinkers/297111-mjadala-tathmini-ya-utawala-wa-rais-kikwete-2005-2012-a.html

  Update:


  Update Muhimu sana:


  UPDATES - QUESTIONS FROM MEMBERS;
   
 2. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #2
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,020
  Likes Received: 23,756
  Trophy Points: 280
  Jembe Matola limeshaingia ulingoni. Zomba sijui kaingia mitini? Nikitafakari eti mafao yangu ya NSSF ni mpaka nifikishe miaka 55, na hii makitu aliyesaini ni Rais Kikwete, basi hata yale machache sana aliyofanya vizuri nakuwa siyaoni kabisa.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #3
  Jul 24, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Time keeper ni nani? tusije tukakesha hapa.
   
 4. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #4
  Jul 24, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Hivi Zomba anaweza kuelezea mafanikio ya Utawala wa Kikwete kwenye kuboresha elimu ya primary na secondary?? ngoja nione.
   
 5. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #5
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,020
  Likes Received: 23,756
  Trophy Points: 280
  Ndio nami niko hapa nipate huo mshangao. Sijui atasemaje kwenye afya, kilimo na ajira kwa vijana. Kuna watu wenye mioyo migumu kama jiwe. Natamani 2015 ifike upesi, labda tunaweza kushushiwa neema.
   
 6. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #6
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  heri ingekuwa topic ya mapenzi ...
   
 7. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #7
  Jul 24, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,945
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  hivi utawala huu wa kikwete kiukweli kabisa umeleta nafuu gani kwa mtanzania zaid tu ya juhudi za watu binafsi? hebu atumbie kwanini tunashuhudia mfumuko wa bei mkubwa kiasi hiki tena kwa bidhaa za ndani kuliko za nje?
   
 8. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #8
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  mbona wanalala sasa ?....nimechoka Mwali wapige maswali
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #9
  Jul 24, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Zomba ametinga na anatoa data kujibu swali la kwanza. Mwali nadhani uwaambie wana mdahalo hao wajibu maswali kwa point/bullet form kwa kuwa maelezo marefu kama unaongea hayatakuwa muafaka hapa.
   
 10. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #10
  Jul 24, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Unayaweza mapenzi, au unataka kutuweka roho juu wenzio,
   
 11. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #11
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,020
  Likes Received: 23,756
  Trophy Points: 280
  Jiulize mafuta (petrol/diesel) Inavopatikana kwenye visima umangani, inasafirishwa kwa meli mpaka bandarini, then inapelekwa kwenye visima vya kuuzia mafuta lakini bei yake ni rahisi kuliko bia inayotengenezwa Ilala hapo. (lita ya petrol ni hardly 2200 wakati ya Caslte lager ni 4000). Nchi inaendeshwa kwa Pombe!!
   
 12. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #12
  Jul 24, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Mnakasha huu si wa kitoto zomba kapewa dakika 10 kujibu mafanikio ya Kikwete tokea 05 katika sekta zote....ngoja niwe msomaji
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #13
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  naona zomba anacopy na kupaste hotuba za mkapa
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #14
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  hahahahahaha.....
   
 15. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #15
  Jul 24, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Kwa hali inavyoonekana Mdahalo unaweza kuchukua sehemu yooote ya siku ya leo iliyobaki.
   
 16. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #16
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  zomba yuko OP kinyama....
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Mchambuzi

  Mchambuzi JF-Expert Member

  #17
  Jul 24, 2012
  Joined: Aug 24, 2007
  Messages: 4,817
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  Tunachojadili hapa ni nini hasa, UTAWALA au UONGOZI? bila tahadhari, wengi tutajikita zaidi kwenye mjadala juu ya uongozi na kuwa nje kabisa ya title ya debate. Pia nadhani ni muhimu ndani mwetu tukawa na uelewa kwamba ni muhimu kugawa kipindi hiki katika maeneo makuu mawili kama suala ni uongozi wa nchi yetu (vis a vis utawala): December 2005 - February 2008 (Lowassa akiwa Waziri Mkuu) na March 2008 - July 2012 (Lowassa akiwa nje ya wadhifa wake huo). Hii ni kwa sababu tofauti na mawaziri wakuu wa awamu za nyuma, Lowassa kama Waziri mkuu mwaka 2005 - 2008 alikuwa ni zaidi ya Waziri Mkuu kikatiba. Nadhani nimeeleweka.
   
 18. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #18
  Jul 24, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  ooh dude......zomba u must be kiddin pal.....
  inflation rate? ooh my....
   
 19. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #19
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  eti anadai maendeleo ya riba ni mazuri sana ..sijamuelewa hapo anazungumzia nchi gani ...ngoja tuwatch hii movie...tusubiri nafasi yetu ya kuuliza maswali
   
 20. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #20
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,020
  Likes Received: 23,756
  Trophy Points: 280
  Dah! Zomba kweli CCM pyua! Maneno mengiiii na madata ya ajabu.
   
Loading...