Ichangie chadema kwa ukombozi wa taifa letu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ichangie chadema kwa ukombozi wa taifa letu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtanke, Aug 2, 2012.

 1. M

  Mtanke JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 282
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  CHADEMA inatarajia kuanza Operesheni Kubwa nchi nzima kuanzia Jumamosi ya tarehe 4 Agost katika Mkoa wa Morogoro,Iringa,Dodoma,Singida na Manyara kwa siku 44. Baada ya Mikoa hii itakuwa ikiendelea kwa Kanda zilizopangwa tembelea tovuti www.chadema.or.tz kupata ratiba kamili. Ili kufanikisha Harakati za Mabadiliko (M4C) unaweza kuichangia Chadema kwa kutumia M-Pesa kwa kufanya malipo/Bili yako kwa namba ya Kampuni 111333
  Hatua za kufuata iliKuichangia CHADEMA
  1. Bonyeza *150# Kwenye Namba yako ya simu yaVodacom
  2. Chagua huduma Na 4. Lipia bili yako
  3. Chagua Na.1 (Ingiza Namba ya Kampuni)
  4. Weka namba ya Kampuni ambayo ni (111333)
  5. Weka Kumbukumbu ya malipo (Ambayo ni namba yasimu ya Mchangiaji)
  6. Weka kiasi (weka kiasi chochote cha fedhaupendacho kuichangia CHADEMA)
  7. Weka namba yako ya Siri ya Akaunti yako yaM-Pesa
  8. Bonyeza Na.1 kuthibitisha Mchango wako.
  Asanthe kwa kuichangia CHADEMA

  KUWA WAKALA WA MABADILIKO UNAYOTAKA KUYAONA KATIKA NCHI YAKO.

   
 2. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Kama wala rushwa na wahuni kama akina zitto,shibuda & co bado wamo ndani ya chama,hakuna haja ya kuchangia
   
 3. M

  Made aw kubofya Member

  #3
  Aug 2, 2012
  Joined: May 8, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sawa kabisa tuko tayari
   
 4. t

  thatha JF-Expert Member

  #4
  Aug 2, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Subirini uchaguzi mpitishe bakuli kwenye mikutano ya kampeni, hii ya njia simu acheni tuchangie ujenzi wa mabweni kwa ajili ya watoto wa kike nchini , tazama TBCI Asubuhi hii ili uchangie.
   
Loading...