Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sunday, 12 August 2012 | Mwananchi | Mwandishi: Fidelis Butahe WAZIRI wa Ujenzi, Dk Harrison Mwakyembe amesema atamtimua kazi Meneja Mkuu wa Shirika la Reli la Tanzania na Zambia (Tazara)...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
haya ni maneno ya mwenyekiti wa MAT Dr Namala Mkopi. Dr ulimboka anaendelea vizuri na pia hayuko kwenye coma! ULIMBOKA he is stable and not in coma or anything!
15 Reactions
122 Replies
12K Views
Nilikuwa nikimsikiliza asubuhi kwenye kipindi cha jambo TBC akiwa Kondoa kukagua mradi wa maji, amesema serikali itajitahidi Tshs. 2.5 Billion zipatikane mwaka huu huu ikipidi kwa njia ya...
0 Reactions
0 Replies
899 Views
Moto mkali dhidi yao wawashwa Wadaiwa kuvunja sera ya chama NI KAMA tayari kuna makubaliano ya kuwajibishana ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) juu ya utoaji wa maoni ya Katiba mpya, kutokana...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
M4C huko Morogoro wilaya ya kilombero kata ya masagati imeanza tena kuiaibisha CCM, Mwenyekiti huyo pamoja na waliokuwa wana ccm zaidi ya 170 nao wamfuata,wahamia CHADEMA. Mytake: CCM Pamoja na...
2 Reactions
44 Replies
4K Views
Wanabodi. Baadhi ya wabunge wa Chadema pamoja na viongozi wao wameonyesha ubabaishaji mkubwa kwenye maswala ya siasa. John Myinka, aachane na siasa za vijiweni na zile za kwenye mitandao ya...
3 Reactions
124 Replies
8K Views
Vita ya makundi yenye nguvu hata kukimega chama kwa nyufa tunayo ishuhudia ndani ya CCM ilijionyesha dhahiri tangu mwaka 2005. Vita hiyo bado inaendelea na naamini haita kwisha hadi ccm itakapo...
4 Reactions
107 Replies
9K Views
Kumekuwa na wizi mbalimbali bandarini ikiwemo Kontena 4 za shaba zenye thamani ya million 900, Kontena hizi zilitakiwa zisafirishwe nje ya nchi lakini zikaibiwa na hazijulikani zilipo. Ukweli ni...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Ni jana ktk M4C iliyofanyika DSM ambayo ilirushwa live na star tv, kuna maneno nilimnukuu kamanda mhe. Godbless Lema akisema " wamenivua ubunge kwa hila na sasa ni mbunge ambaye nipo kwenye...
1 Reactions
77 Replies
7K Views
Mwandishi Wetu | Raia Mwema | Toleo la 253 | 8 Aug 2012 Kasi ya CHADEMA kisiasa mwiba, vijisenti vya mafisadi vurugu tupu Sasa wawakumbuka Kinana, Mangula BAADHI ya wana CCM wanafikiria...
0 Reactions
3 Replies
756 Views
Precision/Exactness/Empiricism - The Only Solution to Tanzania's Problems (Uthabiti/Usahihi/Uhakika - Suluhisho Pekee la Matatizo ya Tanzania) Companero's Precision/Exactness/Empiricism model...
6 Reactions
58 Replies
4K Views
Hii ilikuwa kauli ya Mwalimu Nyerere miaka 58 iliyopita.
4 Reactions
42 Replies
4K Views
SIKU chache baada ya Serikali kuzitaka ndege zinazozunguka Ziwa Nyasa upande wa Tanzania kufanya utafiti wa mafuta kuondoka mara moja, Serikali ya Malawi imetii na kuziondoa kampuni zinazofanya...
2 Reactions
63 Replies
7K Views
MWENYEKITI wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Mstaafu Joseph Warioba amesema moja ya mambo yaliyohojiwa na wananchi wengi katika mchakato wa kukusanya maoni ya Katiba Mpya ni mfumo wa uongozi...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Nimejaribu kuchunguza juu ya tawala mbali mbali hasa kwny nchi yetu ya Tanzania, nikagundua kuwa dhana nzima ya NIDHAMU ya utumishi hasa kwenye utumishi wa umma IMEPOTOSHWA na badala yake imeletwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakaziwa mji wa Lupiro katika jimbo la Ulanga Magharibi wakiitikia kibwagizo cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) cha "Poeples Power", wakati wa mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Uingereza yaitwisha serikali zigo la rada na Edson Kamukara Tanzania Daima WAKATI Serikali ya Rais Jakaya Kikwete, ikisema kuwa hakuna rushwa kwenye kashfa ya ununuzi wa rada kutoka...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Sikubaliani asilan na maneno ya Profesa Issa Shivji kuwa iwapo Muungano utavunjika Wazanzibari ndio watakaoathirika sana. Kwanza suala la Wazanzibari kuwa wako wengi wanafanya biashara Bara na...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, (Chadema), amesema kitendo cha wabunge wameteuliwa kuwa wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa kuendelea kuruhusiwa kushiriki katika vikao vya Bunge ni kinyume...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
<p style="margin: 0in 0in 10pt;" class="yiv78724396MsoNormal"> <p style="margin: 0in 0in 10pt;" class="yiv78724396MsoNormal"><font size="4"><font face="Calibri">Na Stephano Mango, Songea</font>...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…