Ufahamu na upeo wa baadhi ya wabunge na viongozi Chadema na ubabaishaji wa kisiasa

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,889
32,289
Wanabodi.

Baadhi ya wabunge wa Chadema pamoja na viongozi wao wameonyesha ubabaishaji mkubwa kwenye maswala ya siasa.

John Myinka, aachane na siasa za vijiweni na zile za kwenye mitandao ya kijamii zinazomtukuza na kumuona shujaa akavimba kichwa, nchi yetu ina watu wenye upeo mkubwa wa maswala mbalimbali na kukaa kwao kimya anaporopoka, ni kwamba wanampuuza Mnyika amekuwa mtu wa kuropoka tu.

Tundu Lissu, huyu mwanasheria aliingia katika siasa akitokea kwenye NGO moja wa Wanasheria wa Mazingira, Lissu alidai ana mkanda wa video ambao unaonyesha wachimbaji wadogo wakifukiwa huko Bulyankulu alidandia hoja ya Augustine Lyatonga Mrema, kufanya mropanganda hiyo ambayo aliamini kuitumia kujipatia umaarufu kisiasa zaidi kuliko fani yake, leo hii ukumuuliza vipi ule mkanda video hana tena na ameishasahau.

Godbless Lema, sihitaji kuyasema sana kuyasema mambo yake nadhani wote mnafahamu na siasa zake za kusukumwa na jazba, jana nimebahatika kumuona kwenye Star Tv katika kuchangia Chadema, kauli ya Lema anayashambulia makampuni ya simu ambayo ni wawekezaji, Lema kwa akili yake anadhani hizo kamapuni ni wapinzani wa Chadema, Lema anaongea kwa jazba bila ushahidi wala ufahamu wa maswala ya mawasiliano, Lema anatoa amri mbele ya TV nyie makampani ya simu tafadhali nawaamuru wachieni line watu wachangie la sivyo kesho asubuhi nitaamuru wananchi wote watupe line zenu chooni, sababu Chadema ni chama cha wananchi.
 
Ritz, nimekusoma. Vp kuhusu "BABA MWENYE NYUMBA WETU" kwenda kwenye mkutano wa Uzazi wa mpango London na kuacha ku address Important National Issues??
 
Ritz nani kakupiga mbona unali?

Swala la Deo Filikunjombe kuchangia alijakufurahisha?

Najua ulio wataja wote ni miba kwa magamba sitegemei gamba yeyote kuwasifia hao. Sikatai kila mtu ana mapungufu, je mbona hujatupa wasifu wao? Hapo ndio umetuonesha ushabiki wako!

Msalimie filikunjombe!
 
Sina budi kuwapongeza baadhi ya wabunge wa upinzani hawa wamenyesha uwezo mkubwa wa kufanya kazi zao za kibunge kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania na kanuni za bunge...mbunge wa Hai, mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe, mbunge wa Bariadi Mashariki, pamoja na Mrema, nawaomba waendelee na mwendo huo kwa heshima yao na vyama vyao.
 
Mbabaishaji ni Yule aliyeshika dola halafu anashindwa kutimiza ahadi zake Kama ile ahadi tunayoisubiri kwa hamu sana Huku kigoma ya kuibadilisha kuwa Dubai ya Afrika. Lakini huyo mwenyekiti wa hicho Chama cha mabwepande anaishia kuanguka kwenye majukwaa kutokana na uongo wake Huku akisingizia swaumu
 
Sina budi kuwapongeza baadhi ya wabunge wa upinzani hawa wamenyesha uwezo mkubwa wa kufanya kazi zao za kibunge kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania na kanuni za bunge...mbunge wa Hai, mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe, mbunge wa Bariadi Mashariki, pamoja na Mrema, nawaomba waendelee na mwendo huo kwa heshima yao na vyama vyao.
Kumbe mbunge akikubaliana na sera zenu za ufisadi huwa mnampongeza?
 
Wanabodi.

Baadhi ya wabunge wa Chadema pamoja na viongozi wao wameonyesha ubabaishaji mkubwa kwenye maswala ya siasa.

John Myinka, aachane na siasa za vijiweni na zile za kwenye mitandao ya kijamii zinazomtukuza na kumuona shujaa akavimba kichwa, nchi yetu ina watu wenye upeo mkubwa wa maswala mbalimbali na kukaa kwao kimya anaporopoka, ni kwamba wanampuuza Mnyika amekuwa mtu wa kuropoka tu.

Tundu Lissu, huyu mwanasheria aliingia katika siasa akitokea kwenye NGO moja wa Wanasheria wa Mazingira, Lissu alidai ana mkanda wa video ambao unaonyesha wachimbaji wadogo wakifukiwa huko Bulyankulu alidandia hoja ya Augustine Lyatonga Mrema, kufanya mropanganda hiyo ambayo aliamini kuitumia kujipatia umaarufu kisiasa zaidi kuliko fani yake, leo hii ukumuuliza vipi ule mkanda video hana tena na ameishasahau.

Godbless Lema, sihitaji kuyasema sana kuyasema mambo yake nadhani wote mnafahamu na siasa zake za kusukumwa na jazba, jana nimebahatika kumuona kwenye Star Tv katika kuchangia Chadema, kauli ya Lema anayashambulia makampuni ya simu ambayo ni wawekezaji, Lema kwa akili yake anadhani hizo kamapuni ni wapinzani wa Chadema, Lema anaongea kwa jazba bila ushahidi wala ufahamu wa maswala ya mawasiliano, Lema anatoa amri mbele ya TV nyie makampani ya simu tafadhali nawaamuru wachieni line watu wachangie la sivyo kesho asubuhi nitaamuru wananchi wote watupe line zenu chooni, sababu Chadema ni chama cha wananchi.

This is too low Ritz siyo lazima upost unaunganisha maneno(u think u write)unaweza changia .....Wote uliowataja wanawawasha kweli kweli na wamedhiirisha udhaifu wenu na hilo alina ubishi hoja zao zimekuwa mwiba kwa magamba na serikali yake.
Huo Upeo wa Wabunge zaidi 150 wa CCM unatusaidia nini zaidi ya kuongoza kwa kumwaga udenda na kushabikia ujinga kwa kura za ndiyo mjengoni?.....Endeleni kujipakaza pilipili mwilini.
 
Ritz nape ameongeza posho kwa ajili ya sikukuu maana du, siku nyingi kweli mkuu
jk dhaifu alienda kujifunza uzazi salama uk
 
John Myinka, aachane na siasa za vijiweni na zile za kwenye mitandao ya kijamii zinazomtukuza na kumuona shujaa akavimba kichwa, nchi yetu ina watu wenye upeo mkubwa wa maswala mbalimbali na kukaa kwao kimya anaporopoka, ni kwamba wanampuuza Mnyika amekuwa mtu wa kuropoka tu.

mafisadi wa epa na rada wafikishwe mahakamani-jj mnyika...huku kwako wewe ni kuropoka!!!!makuwadi wa mafisadi utawajua tu
 
Sina budi kuwapongeza baadhi ya wabunge wa upinzani hawa wamenyesha uwezo mkubwa wa kufanya kazi zao za kibunge kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania na kanuni za bunge...mbunge wa Hai, mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe, mbunge wa Bariadi Mashariki, pamoja na Mrema, nawaomba waendelee na mwendo huo kwa heshima yao na vyama vyao.
[FONT=Tahoma, Calibri, Verdana, Geneva, sans-serif]Bado masaa mawili ukajidunge uji wa pilipili na tambi [/FONT]
 
Hii ndio hatari ya kujiingiza katika siasa bila kujua unachokitaka kukifanya ndio kunakosababisha udandiaji wa hoja, uzushi, madai yasiyo mashiko, Mnyika amekuwa mbunge wa mwogozo spika hivi kweli Mnyika anajua upungufu wake umelifikisha wapi Jimbo la Ubungo? Ni vyema Mnyika kabla ya kuwahukumu wenzake kwa kutoa kauli za kitoto angejipima kwanza je, amelifikisha wapi Jimbo lake.
 
Acha unafiki mpa ukumbushwe?

Yan kitendo cha Mnyika kutambua serikali ya ccm ni dhaifu umeshindwa kutoa pongezi?

Kitendo cha Msigwa kubaini jangili kada wa ccm umeshindwa kutoa pongezi hapo?

Kweli Ritz huna shukrani basi mpongeze hata lukuvi na mwingulu nchemba !

Sina budi kuwapongeza baadhi ya wabunge wa upinzani hawa wamenyesha uwezo mkubwa wa kufanya kazi zao za kibunge kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania na kanuni za bunge...mbunge wa Hai, mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe, mbunge wa Bariadi Mashariki, pamoja na Mrema, nawaomba waendelee na mwendo huo kwa heshima yao na vyama vyao.
 
Ritz akili zako hazina tofauti na akili za.......

tofauti.jpg
 
kama watanzania wengine una uhuru wa kutoa maoni,ila ujue sio lazima tukubaliane na mawazo yako,mpo na mko wengi wenye mawazo yenu ya hivyo,kwa bahati mbaya tanzania ya leo haiko upande wenu.nawe wajua ukweli ila lazima useme ivyo ili kulinda unachakijua mwenyewe.
 
Ritz, siku zote nimekuwa mzito wa kujibu thread zako, ila leo napenda kukushauri, kwa sasa kukiua CDM ni ngumu sana, na hii ni kutokana uwepo wa mitandao mingi(JF, Twiter) mitandao hii inatumiwa na watu wengi sana ikiwa ni pamoja na ww, taarifa nyingi zimekuwa zikijadiliwa kwa ufasaha, kwa sasa kuna feedback, ni tofauti na zamani enzi za magazeti na radio. sababu ya pili ni watumishi wengi wa umma hawana imani na serikali yao. Ritz use another strategy na watu wajua haupend CDM, Kila wazo lako -VE Kwao
 
Jamani naombeni matokeo ya mechi ya juzi ya FC Bac VS Man U. (hapa sioni cha kujadili)
 
Tundu Lissu naye ni kituko cha aina yake kama unafuatilia vikao vya bunge, kila anaposimama kuchangia kutokana na na kujiaminisha kuwa anajua kila kitu mara nyingi amekuwa akijikuta akiwa kichekesho, mbunge huyu ana hulka ile ile kama Mnyika, ambao wakisimama bungeni hudhania wanachosema au kuchangia ni kipya na wa6 kujiona visima vya mawazo mapya, ndio maana haishangazi kupewa taarifa na wenzao na wengine kuomba mwongozo spika.
 
Hii ndio hatari ya kujiingiza katika siasa bila kujua unachokitaka kukifanya ndio kunakosababisha udandiaji wa hoja, uzushi, madai yasiyo mashiko, Mnyika amekuwa mbunge wa mwogozo spika hivi kweli Mnyika anajua upungufu wake umelifikisha wapi Jimbo la Ubungo? Ni vyema Mnyika kabla ya kuwahukumu wenzake kwa kutoa kauli za kitoto angejipima kwanza je, amelifikisha wapi Jimbo lake.
Mnyika ametuangusha sana wanaubungo ambao ndiyo mtaji wake. Yeye na miongozi, m4c na majukumu mengine ya kitaifa. Haonekani jimboni. Anashinddwa na watoto wadogo km Nassarri ambaye jana kwenye m4c aliaga kwamba ataenda kwanza jimboni halafu ndo aendelee na mengine.
 
Back
Top Bottom