Lema amwomba Slaa agombee Arusha Mjini

AdvocateFi

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
11,492
5,040
Ni jana ktk M4C iliyofanyika DSM ambayo ilirushwa live na star tv, kuna maneno nilimnukuu kamanda mhe. Godbless Lema akisema " wamenivua ubunge kwa hila na sasa ni mbunge ambaye nipo kwenye honeymoon lakini nawasihi wananchi wangu wa Arusha wasikate tamaa kwani soon mbunge wao nitarudi bungeni lakini hata kama sitarudi mimi bado hata Rais aliyepo ktk mioyo ya watanzania Dr. Slaa atarudi yeye bungeni kuniwakilisha na 2015 ataniachia tena mimi nirudi bungeni tena kuwapigania"

My outlook:
Kwa maelezo hayo ya mhe. Lema je kuna ukweli wowote kwamba Rais wetu Dr.Slaa atarudi bungeni? Na vipi maoni yetu wanabadiliko ktk hili?
 
Hao politician wakati mwingine usiwatilie maanani sana maneno yao wanayoonekana dhahiri kuyatamka without control
 
Arusha itakuwa kama mlupo flani hivi, wanagonga kwa zamu. Hii watoto wa mujini wanaita mtungo aka mande.
 
Nilichoelewa ni kwamba Rais dr Slaa atagombea ubunge Arusha kulitetea jimbo, Cmd nawaombeni kama ni kuogopa kulipoteza hili jimbo huo wasiwasi usitufanye tumsimamishe Dr. Slaa ni okward na mategemeo ya wa Tz.
 
naunga mkono hoja! Ni vyema kama ni kweli basi Chama kisimsimamishe Rais wetu kugombea ubunge kupitia Arusha kwani tunataka huo mda ajiandae kuingia ikulu 2015.
 
nitafurahi sana bwana mkubwa akiingia mjengoni kwa iki kipande kilichobaki
 
naunga mkono hoja! Ni vyema kama ni kweli basi Chama kisimsimamishe Rais wetu kugombea ubunge kupitia Arusha kwani tunataka huo mda ajiandae kuingia ikulu 2015.

hakuna raisi wangu ni raisi tuu sitaki aingie bungeni kwa vilaza, hata mfanyaje dr tunampeleka ikulu tuu hatutaki ubunge!:israel:
 
mimi nasuburi maamuzi ya vikao vya uteuzi naamini kwa jimbo la arusha hata cdm wakisimamisha jiwe against ccm ya leo, jiwe litashinda
 
mimi nasuburi maamuzi ya vikao vya uteuzi naamini kwa jimbo la arusha hata cdm wakisimamisha jiwe against ccm ya leo, jiwe litashinda

Kama ni hivyo kwa nini wasimsimamishe mwana CDM wa hapo Arusha akachukua uwakilishi hadi waje huku Tegeta kumchukua boyfriend wa Josephine Mushumbusi mamaa ya pesa mingi?
 
Kwani ile tume ya CCM ya uchaguzi NEC imeshatangaza tarehe ya uchaguzi jimbo la Arusha?maana najua kuwa kuna rufaa imekatwa tena!
 
Back
Top Bottom