Dr. Ulimboka is safe and stable

Kuna wapuuzi fulani tangu asubuhi walikua wanaweka taarifa za kijinga hapa, na watakufa wao wenyewe
 
Mtasa baada ya kutimuliwa na ndugu wa ulimboka na kukosa habari ya maana ikabidi atoe habari ya uongo kuwa yuko kwenye koma...
 
dah! Kidogo nizimie. Hilo neno la breaking news limenistua kweli. Ooh! Thanx God
 
kuna lile jamaa bonge la ughaibuni nasikia linazusha habari za uongo kumhusu dr. ulimboka
 
MUNGU NI MWEMA! wapi ACP msangi na wazandiki wenzie????? watakuwa na hasira sana! i cant wait to see their faces cku atakayorudi.
 
Mungu bado anampenda Dr.Ul na hata watanzania walala hoi tunampenda .Mkono wa Mungu uzidi kumuinua na amponye
 
Mtasa baada ya kutimuliwa na ndugu wa ulimboka na kukosa habari ya maana ikabidi atoe habari ya uongo kuwa yuko kwenye koma...

kwa hiyo mtasa alituongopea? Najua vyombo vya habari vya wenzetu vina sheria kali sana asije akapigwa ban kama alivyofanywa yule Jeff Koinange aliyekuwa CNN bureau chief wa west africa.
 
Back
Top Bottom