Mh. Waziri Mkuu Pinda Akubali Zipo Posho Kwenye Bajeti Hazina Tija | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh. Waziri Mkuu Pinda Akubali Zipo Posho Kwenye Bajeti Hazina Tija

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by jnuswe, Aug 13, 2012.

 1. j

  jnuswe JF-Expert Member

  #1
  Aug 13, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,271
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Nilikuwa nikimsikiliza asubuhi kwenye kipindi cha jambo TBC akiwa Kondoa kukagua mradi wa maji, amesema serikali itajitahidi Tshs. 2.5 Billion zipatikane mwaka huu huu ikipidi kwa njia ya kupunguza kwenye posho zinazodaiwa kuwa hazina tija katika bajeti ya mwaka huu ili kukarabati miuudo mbinu ya maji.

  Napenda watu wa Kondoa waupate huo mradi wa maji, lakini kinachonishangaza ni kwa namna gani serikali yetu isivyokuwa na lengo la kusaidia wananchi wake, kumbe uwa zinakuwepo pesa nyingi namna hiyo zipo kwenye posho zisizokuwa na tija mpaka wananchi wakilalamika ndipo zinapoweza kutolewa, hii ni ajabu
   
Loading...