Mwenyekiti wa CHADEMA - London kachaguliwa kwa kigezo gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenyekiti wa CHADEMA - London kachaguliwa kwa kigezo gani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bull, Aug 8, 2012.

 1. B

  Bull JF-Expert Member

  #1
  Aug 8, 2012
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watu waliohudhuria mkutano wa chadema london ni 10 pamoja na matangazo yote ya Blog ya MJENGWA ambayo imekuwa kama gazeti la Tanzania daima.sasa hivi chris lukosi anasema kachaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chadema kwenye uchaguzi wa jana.walioshiri ni watu 10. jee alishindana na nani hadi akawa mwenyekiti?alipata kura ngapi na mpinzani wake alipata ngapi?
  hawa watu nadhani hata katiba ya chadema hawaijui. ilitakiwa wafundishwe kazi kwanza.
  Chris umepata kura ngapi? na hadi sasa wamekosa katibu kwani watu kumi walioshiri kila mtu kaingia mitini. wanatafuta katibu. hii ni dalili ya kufeli kwa chadema London.wame deal na mabogus ndio matokeo yake. poor planning huleta poor result. wanatia huruma. LEMA KICHWA kinamuuma.
   
 2. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #2
  Aug 8, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  maeneo waliyofanyia mkutano wao wanaishi watu wengi kutoka visiwani zanzibar, kitendo chao cha kupeleka mkutano BAR ndicho kilipelekea kukosa watu, na hasa hii kasumba ya ukristo, waislam wanakiokopa chama hicho.
   
 3. F

  FJM JF-Expert Member

  #3
  Aug 8, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145

  Nijuavyo mimi, wazanzibari wengi wanaoishi London ni wapemba, na wako close zaidi ya CUF unless wamebadili msimamo 'jana usiku'. Lakini pia tuwe realistic, kwa sasa Zanzibar wako busy na harakati za kuachana na 'mkoloni Tanganyika' kwa hiyo madai ya venue, mara number of participants ni visingizio.
   
 4. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #4
  Aug 8, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Halafu unamsikia anafanya kila juhudi kupiga tarumbeta ya kidini!! Eti hicho chama wanakiogopa waislam, kwani London ni mji wa waislamu, mbona walikimbilia huko kama walitaka kuishi waislamu peke yao? hebu wanaojificha kwenye hizi dini msizozijuwa kuweni na fikra pana zaidi!
   
 5. Mtimti

  Mtimti JF-Expert Member

  #5
  Aug 8, 2012
  Joined: Feb 23, 2008
  Messages: 914
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 60
  chris na viongozi wote wa chadema london hawakuchaguliwa...wameteuliwa ili kukiongoza chama kuelekea uchaguzi mkuu wa viongozi
  chadema ndio kwanza wametia timu hapa London hivyo lazima kuwe na watu watakaokuwa wanaact kama viongozi wa mpito ili kuendesha shughuli za kuratibu mambo yote yanayokihusu kwa ulaya
  nikuulize swali,hivi ukienda kusajiri chama kwa tendwa ukajiandika kuwa wewe ni mwenyekiti na mkeo ni katibu..hivi huwa mnakuwa mmechaguliwa na wanachama gani?
  tuwape muda hawa viongozi wa mpito na sio kuja na hoja za kitoto hapa
   
 6. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #6
  Aug 8, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Kuna watu walikuwa wanataka hako kanafasi watafute kutoka kimaisha kama mleta mada...umeumbuka.
   
 7. K

  Kidatu JF-Expert Member

  #7
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 1,491
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hatuangalii wingi wa watu waliojitokeza bali tunaangalia kilichozungumzwa kina manufaa gani kwa Tanzania. Ni hekima kubwa kutokubaliana na wengi wenye makosa, na ukasimama pekee yako kwenye ukweli. Wingi si tija hata kidogo.
   
 8. t

  thatha JF-Expert Member

  #8
  Aug 8, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Chadema kinatakiwa kujijenga hapa nyumbani kuanzia grassroot level,then kiende ulaya.so long hao wa nje sio reflection ya maisha halisi ya mtanzania
   
 9. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #9
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Atakuwa kachaguliwa na wenzake 10 ukiwemo kama ulikuwepo na kama hukuwepo kelele za nini hadi utake kujua nani walio mchagua ?Hebu waache wenye nia waendelee na kama ni wachumia tumbo soon watajulikana lakini kwa sasa waacheni wachape kazi .Hata hivyo wewe na wenzako wa UK kwa sasa si wapiga kura na siasa zenu ni za JF pekee wenzeni tuko JF na polisi tunakumbana nao .
   
 10. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #10
  Aug 8, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Kwani aliye nje siyo mtanzania? huyo ambaye reflection ya maisha yake inatakiwa iheshimiwe ni aliye Bongo tu?
   
 11. t

  time will tell Member

  #11
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh!!! kazi ipo kweli kuelimisha jamii. nchi nyingine raia wao wanapiga kura japokuwa hawapo inchini mwao je hawareflect jamii yao? Hivi unaweza kusema hivyo kweli kipindi hichi cha utandawazi?
   
 12. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #12
  Aug 8, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160

  Jana ilikuwa siku ya Jumatatu na wengi wetu tunajua huko majuu watu hawako kama Manzese au Kariakoo kukiwa na tukio watu watajaza hata kukosa pa kupenya, kumbe kupotea njia kwa mwendesha bodaboda au kibabaja kuparamia tuta.

  Majuu ni box tu mtindo mmoja, kwani hii mikutano italipa bills? Mikutano majuu ukitaka ipate wahudhuriaji iwe siku za weekend na mapumzikko, la sivyo tegemea kupata wahudhuriaji kama kamati au kongamano, lakini kama mkutano jamaa kubeba box ndio jambo la kwanza. Huko dakika 7 umechelewa kazini unakatwa umekosa robo saa si kama bongo jamaa anaenda lunch na kuunganisha sokoni, kisha kijiweni siku imepita mshahara dinari ile ile moja.

  Juu ya kumpata mwenyekiti, waliohudhuria sishangai kama waliamua kumchagua Mwenyekiti, kwani bila kuwapo na kiongozi hakutakuwa na mwenye kuwahamasisha na kuwaunganisha. Mwanzoni ni jambo la kawaida na baadaye wakishaongezeka hitaji la kura za kikatiba ni wajibu.
   
 13. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #13
  Aug 8, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Wazanzibar Mwende CUF
   
 14. Richard

  Richard JF-Expert Member

  #14
  Aug 8, 2012
  Joined: Oct 23, 2006
  Messages: 8,253
  Likes Received: 4,276
  Trophy Points: 280
  Mkuu mbona unaenda mbali sana?

  Hapo kwenye RED naona umeruka juu mno.

  Nini hasa kinakusumbua?
   
 15. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #15
  Aug 8, 2012
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,511
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Magamba daima hawajifichi. Wewe umejiunga hapa leo kwa ajili ya kuleta uzi huu tu? Pole

  Tiba
   
 16. a

  andrews JF-Expert Member

  #16
  Aug 9, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hata wangekuwa wa4 nyie nendeni ccm mkafidiane huko huku hakuna majungu[
   
 17. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #17
  Aug 9, 2012
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  HATA WALIOKO UKO NI SAWA TU, il mradi wanaunga mkono chama. Usemalo mkuu n sawa chama kianzie toka grassroots hapahapa nchini na jee waliopo mbali wasichaguane ili kwenda kimkakati? I think is also ok let them continue! lets do also what is required while in the country.
   
 18. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #18
  Aug 9, 2012
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  I think yeyote anayejiunga na chama cha wazalendo kama hiki (Chadema) ajiunge ila akiwa mnafiki basi ni bora aende hukoooo CCM. Tunataka wanaoionea huruma Tanzania.
  chama hakina ubaguzi kwa mtanzania regardless katoka zenji/bara
   
 19. Ally Kanah

  Ally Kanah JF-Expert Member

  #19
  Aug 9, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 1,433
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
   
 20. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #20
  Aug 9, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Waliochaguliwa ni kina nani? Tajeni majina ya viongozi.
   
Loading...