Kamanda Godbless Lema na wanachama na viongozi wapya wa chadema London. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kamanda Godbless Lema na wanachama na viongozi wapya wa chadema London.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MsemajiUkweli, Aug 8, 2012.

 1. MsemajiUkweli

  MsemajiUkweli JF-Expert Member

  #1
  Aug 8, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 8,911
  Likes Received: 12,091
  Trophy Points: 280
  Ukweli husemwa:

  Ama kweli Siasa ni zaidi ya tuijuavyo!!

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]


  Picha kwa hisani ya mjengwa blog.
   
 2. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #2
  Aug 8, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,074
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  SIJAELEWA BADO!... acha nirudie !
   
 3. tAi

  tAi Member

  #3
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Ukitazama vizuri sura zao utajua tu ni ndugu au wanatoka mkoa moja.... hawajamaa niwasakanyaji pesa tu.
   
 4. darison andrew

  darison andrew Member

  #4
  Aug 8, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  PENYE NIA KUNA NJIA :flypig:
   
 5. B

  Bull JF-Expert Member

  #5
  Aug 8, 2012
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwani Mwenyekiti wa Chadema Uk bwana Chris Lukosi ana elimu gani au amesoma chuo kikuu kipi hapa UK?
   
 6. B

  Bull JF-Expert Member

  #6
  Aug 8, 2012
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo wapenzi na wanachama wa chadema Uingereza wako kati ya saba hadi kumi tu? kama ndio hivyo naona tayari wamefeli.mliopo hapa JF mnajua huko nyuma tuliijadili kampuni ya bwana Chris Lukosi ya Serengeti na mashaka watu waliokuwa nayo juu yao. kwa vile Lema ni mtu wa dili sioni ajabu kuwa karibu na hawa Serengeti freight.
  lakini cha kujiuliza leseni ya serengeti inaruhusu kufanya shughuli za kisiasa eneo lao la ofisi? Chris Lukosi naona ukifikiri mara kadhaa kabla ya kujitumbikiza humu. jamaani mmeona barua ya malalamiko ya wazanzibar wa uingereza kwa Slaa wa Chadema. kila mtu aisome ndio utajua kuwa chris hana uwezo wa kuongoza.
   
 7. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #7
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,017
  Likes Received: 3,200
  Trophy Points: 280
  Tshirt ya njano inahusikaje hpo?!!
   
 8. m

  mosagane Senior Member

  #8
  Aug 8, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 122
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata mimi hapo sijaelewa aliye elewa atufafanulie
   
 9. MsemajiUkweli

  MsemajiUkweli JF-Expert Member

  #9
  Aug 8, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 8,911
  Likes Received: 12,091
  Trophy Points: 280
  Ukweli husemwa:

  Kwa kutazama watu waliohudhulia na kusema CHADEMA wamefeli nafikili hukitendei haki chama. Hicho siyo kipimo pekee ukichukulia kuwa mkutano umeingiliana na sherehe za olympic.

  Swala la kampuni ya Chris Lukosi haliingiliani na Shughuli za Chama kwa hiyo nafikili hakuna 'conflict of interest'.

  Umejuaje kama office ya tawi la CHADEMA London itakuwa kwenye office za Serengeti freight? Na kama ni hivyo, hiyo haikuhusu kwa vile hayo yatakuwa makubaliano na Landlord wake.

  Barua ni mawazo na maoni ya mwandishi peke yako
   
 10. B

  Bull JF-Expert Member

  #10
  Aug 8, 2012
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watanzania wangapi wanaenda olympic? Chadema mmefeli kwa vile mambo kama haya yanahitaji kampuni za event management.poor organisation siku zote hulete poor result ndio maana nikataka kujua elimu ya chris lukosi nione uwezo wake, sababu jambo dogo kama hili limemshinda. naona angebaki kwenye biashara, uwanja wa siasa anachanganya madawa.
  naomba CV ya chris Lukosi.
   
 11. h

  hans79 JF-Expert Member

  #11
  Aug 8, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  Vp kuhusu rada?
   
 12. JIULIZE KWANZA

  JIULIZE KWANZA JF-Expert Member

  #12
  Aug 8, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 2,573
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yani wewe Jamaa unachekesha kweli...uko kijitonyama alafu unazuga uko Uk? Tehe Tehe Tehe mbaya zaidi unatuuliza sisi eti kasoma chuo gani hapa Uk? Kama uko Uk kwanini usijue alikosomea? Wabongo kwa sifa bwana Dah alafu umejiunga tuu nakuanza kutema ***** karibu jamvini bana na Wape hi akina kadege apo kijitonyama Tehe Tehe Tehe
   
 13. K

  Kakubilo Kasota Senior Member

  #13
  Aug 8, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwa uzoefu wangu majina kama Lukosi ni kama watu wa Iringa vile, sasa sijaelewa hapo, una maana wanatoka mkoa mmoja hao watu walioko UK au wanatoka mkoa mmoja na bwana Lema, unaweza kufafanua kidogo?
   
 14. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #14
  Aug 8, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  nimefurahi sana
   
 15. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #15
  Aug 8, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Nina shaka sana na hapa kwa jinsi nilivyoiona


  Haiwezekani kamwe!
   
 16. r

  roy allan Member

  #16
  Aug 8, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hata mimi cjaelewa au ndyo imerudishwa
   
 17. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #17
  Aug 8, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Hawa viongozi mbona manaonyesha picha tu. Kwanini hamtaji majina yao na nafasi zao. Kwanini anatajwa Chris tu?
   
 18. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #18
  Aug 8, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  QUOTE=njiwa;4394933]SIJAELEWA BADO!... acha nirudie !
  [/QUOTE]

  Wewe hata ukijitoa akili mwaka huu utaelewa tu.
   
 19. t

  time will tell Member

  #19
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inaonekana Magamba roho zinawauma cdm kufungua tawi London na mbado!
   
 20. Richard

  Richard JF-Expert Member

  #20
  Aug 8, 2012
  Joined: Oct 23, 2006
  Messages: 8,253
  Likes Received: 4,275
  Trophy Points: 280
  TWT,

  Matawi ya CCM UK hayafanyi yale yanayotakiwa kufanywa na wanachama wa tawi la siasa.

  Kazi kuu ya tawi la siasa ni kuhamasisha upatikanaji wa wanachama wapya na si wanachama wa CCM kuhudhuria vikao kwenye migahawa kama ule wa sehemu moja (jina kapuni) ambapo baada ya hapo kila mtu anakwenda kulala.

  Watu hapo hupiga soga na kula ugali na samaki bila agenda zozote mezani na hawahakikishi ile brand ya chama inazoeleka kwa wanachama watarajiwa.

  Chadema itakuwa ni tofauti kabisa na watu watashangaa.
   
Loading...