CHADEMA yafunika Sangara Ifakara

CHADEMA yafunika Sangara Ifakara

Mkuu Mtanke picha zako hazionekani...
 
Last edited by a moderator:
cdm na wananchi ,ccm na viongozi wake wakihamasisha vita dhidi ya Malawi
 
Poleni Jamani Picha hizi hapa. Nadhani tatizo ni network on attaching
View attachment 61340
Dk.Slaa akiwa Jukwaani wakati wa Mkutano wa Ufunguzi wa Operesheni Sangara Ifakara
View attachment 61343
Umati wa Wananchi wa Ifakara wakifuatilia Mkutano wa wa ufunguzi wa Operesheni Sangara
View attachment 61344
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mh.Freeman Mbowe akizungumza na Wananchi wa Ifakara wakati wa Ufunguzi wa Operesheni Sangara katika Mkoa wa Morogoro
View attachment 61347
Wabunge nao hawakubaki nyuma katika ufunguzi huo
 
Back
Top Bottom