Spika makinda tumia nafasi ya kukutana na viongozi toka malawi kukomesha vita.

thatha

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
15,340
1,566
Jumla ya wajumbe 10 toka Malawi, wako bungeni wiki ya pili sasa. Ni vema Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutumia nafasi hiyo kuwashawishi wajumbe hao kupeleka ujumbe nchini mwao wa kuhakikisha maridhiano ya mgogoro wa ziwa nyasa yanapatikana kwa njia ya kidiplomasia.
 
Back
Top Bottom