Mkutano wa chadema wilaya ya Nachingwea,Liwale na kilwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkutano wa chadema wilaya ya Nachingwea,Liwale na kilwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Qixima mQiqa, Aug 7, 2012.

 1. Q

  Qixima mQiqa Senior Member

  #1
  Aug 7, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 178
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  siku ya J3 na J4 baadhi ya viongoz wa Chadema wakiongozwa na makamu mwenyekiti wa chadema Zanzibar Mr.Said Issa Mohamed,Mr.Basil lema na Mr.Chitanda walifanya mkutano katika wilaya ya nachingwea na liwale.Kilwa masoko hawakuweza kufanya mkutano kutokana na kuwa na haraka ya kuwahi mkutano huko morogoro. Viongozi waliondoka kilwa masoko leo asubuhi baada ya kufanya mkutano wa ndani. SOURCE: MIMI MWENYEWE
   
 2. Lawrence Luanda

  Lawrence Luanda JF-Expert Member

  #2
  Aug 7, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  iko poa..peoplesssssssssssssssss
   
 3. Q

  Qixima mQiqa Senior Member

  #3
  Aug 7, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 178
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  poweeeer
   
 4. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #4
  Aug 7, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Safi sana peopleeeeeees !!!!!!!!!!!
   
 5. M

  Molemo JF-Expert Member

  #5
  Aug 7, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Hongereni jamani
   
 6. B

  Buto JF-Expert Member

  #6
  Aug 7, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 249
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  pamoja sana
   
 7. kanga

  kanga JF-Expert Member

  #7
  Aug 9, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,011
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Wagawa sanda bado wanaendelea na zoezi lao huko?
   
 8. M

  MgonjwaUkimwi JF-Expert Member

  #8
  Aug 9, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 1,288
  Likes Received: 521
  Trophy Points: 280
  Chama cha watu wale waliokuwa wanakataa kuja kufanya kazi mikoa ya kusini na sasa wanadai wanataka walete ukombozi huko! Waliwafanya wajinga watu wa kusini na sasa wanataka kuwafanya wajinga mara ya pili.
   
 9. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #9
  Aug 9, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mgonjwa wa ukimwi...soon.rip.
   
 10. M

  MgonjwaUkimwi JF-Expert Member

  #10
  Aug 9, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 1,288
  Likes Received: 521
  Trophy Points: 280
  Jingofresh
  Join Date : 25th March 2011
  Location : ARUSHA

  Location location location
   
 11. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #11
  Aug 9, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,837
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Mungu aendelee Kutufunulia mwanga wa Matumaini!!
   
 12. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #12
  Aug 9, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,165
  Likes Received: 1,169
  Trophy Points: 280
  naona hayo ni matokeo ya usimamizi dhaifu, nani anaye ajiri?
   
 13. M

  MgonjwaUkimwi JF-Expert Member

  #13
  Aug 9, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 1,288
  Likes Received: 521
  Trophy Points: 280
  Kabisa, usimamizi wa watu hao hao waliokuwa wanakataa kufanya kazi mikoa ya kusini, hao ndio waliokuwa waajiri waliokuwa wanatumia mikoa ya kusini kama sehemu ya kutumikia adhabu. Sasa "Kichaa" kashika silaha kama inavyoshikwa, na amekumbuka aliyofanyiwa.
   
 14. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #14
  Aug 9, 2012
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Tena ni ujinga kuripoti mambo ambayo ni trivial kama haya. Punde tutaambiwa kwamba Katibu Mkuu amekohoa! Fanatical support ya namna hii inazaa upofu.
   
Loading...