Jimbo la Dole likoje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jimbo la Dole likoje?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mnyonge Namba1, Aug 7, 2012.

 1. M

  Mnyonge Namba1 JF-Expert Member

  #1
  Aug 7, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 402
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mbunge(mwakilishi) wa jimbo la Dole(visiwani ZNZ) ni Silvester Masele Mabumba.Jina lake la pili na la tatu kwa hapa bara yana asili ya KANDA YA ZIWA.Hali hii inatatiza na inazua maswali kadhaa yasiyo na majibu kwetu Wabara tuliowengi ambao hatujawahi kufika Zanzibar. Baadhi ya maswali haya ni:-

  1. Japo katiba zote mbili zinaruhusu,KWA KUZINGATIA TOFAUTI ZA KITAMADUNI BAINA YA PANDE MBILI ZA MUUNGANO,JE! ILIWEZEKANAJE WATU WA Dole KUMCHAGUA Silvester na siyo jina jingine linaloendana na utamaduni wa visiwani KUWA MWAKILISHI WAO?

  2. Kwani wakazi wengi wa Dole ni Wasukuma, Wanyamwezi au Wabara wengine waliolowea visiwani hivi karibuni?.

  3. Kama jibu namba 2 ni NDIYO, je! kauli ya Ismail Jussa baada ya uchaguzi mdogo wa jimbo la Uzini ni sahihi?.

  4. Kama jibu namba 2 ni HAPANA, je! twaweze kusema kwamba Wazanzibari wengi (ukimwondoa Jussa) ni Wastaarabu na Waungwana sana hadi kumchagua SILVESTER kuwa mwakilishi wao?.

  NIMEULIZA HAYA MACHACHE MIONGONI MWA MASWALI MENGI YANAYOTUTATIZA SISI Watanganyika TULIOPO VIJIJINI NA AMBAO HATUNA UHAKIKA WA KUFIKA Znz KUJIONEA MUUNDO WA KIJAMII WA WAKAZI WA JIMBO LA DOLE.

  Kwa nia njema kabisa nawasilisha hoja hizi nzuri ili mtu yeyote mwenye mapenzi mema na taifa letu,atusaidie bure kutoa elimu hii muhimu ya uraia juu ya mwingiliano wa kijamii na kisiasa baina ya Bara na Visiwani katika zama hizi za uhai wa Muungano Wetu.
   
 2. M

  Mgongo wa paka JF-Expert Member

  #2
  Aug 7, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 486
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kauli ya jussa ilikuwa ni kweli na halisia watu walitaka afiche.
   
 3. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #3
  Aug 7, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,951
  Likes Received: 1,275
  Trophy Points: 280
  kaiba jina tu huyo!
   
 4. m

  mkataba Senior Member

  #4
  Aug 7, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo si ni wa CCM, huko Zenji CCm hata wakaekewa jiwe au sumba kwao wao poa tu, subiri 2015 kama utamsikia tena akitajwa.

  Muulize yule alokuwa mbunge wa BUBUBU Cosmas alifanywa nini?????
   
 5. M

  Msajili Senior Member

  #5
  Aug 7, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 117
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Kwa hiyo CUF Ndiyo wabaguzi? Au unataka kututhibitishia ni chama cha kiislamu na uarabu?
   
 6. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #6
  Aug 7, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145

  Ustaarabu gani ulio na UNYAMA na UBAGUZI wa MAJINA? Lakini Mkifika LONDON

  mnajilambalamba kwa Wazungu wa kiingereza? Hiyo ni Mantiki gani ya kuishi duniani?

  Kujikombakomba??? BADO NYIE NI WABANTU!!!
   
 7. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #7
  Aug 7, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  KAULI YA JUSSA ILISEMA KUWA ZANZIBAR kuna WANYAMWEZI WENGI SANA... KWAHIYO

  UKABILA UPO na WAZANZIBARI WENGI NI WABANTU...
   
 8. Zatara

  Zatara JF-Expert Member

  #8
  Aug 8, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 549
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45

  Cosmas alifanywa nini ? Mbona kama Jungu linapikwa hapa
   
 9. M

  Mnyonge Namba1 JF-Expert Member

  #9
  Aug 8, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 402
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Tusaidieni jamani nasie tujue,kigezo gani kilitumika kumchagua SILVESTER kuwa mwakilishi?.
   
 10. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #10
  Aug 8, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  CHADEMA ndio wanaotumia ukristo katika siasa za nchi hii, ndio maana jimbo la Bububu chadema hawatasimamisha mgombea kwa sababu hakuna kanisa hata moja.
   
 11. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #11
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145

  CUF pia haikusimamisha ARUMERU pamoja na kuwa na MISIKITI lakini hakuna Wastaarabu... Arumeru ni Waislamu

  Wabantu... CUF ni Ubaguzi, Wao Macho yao OMAN kama vile hawatabaguliwa tena...

  Mawazo yenu ni KANISA mbona CCM haipati kiti PEMBA sasa Unasema ni nini? ROHO ZENU ZIMEJAA CHUKI...
   
 12. Muangila

  Muangila JF-Expert Member

  #12
  Aug 8, 2012
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 1,854
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  well said mkuu... umekitendea haki chama chako CUF kwa Znz ni heri CCM kuliko CUF maana hakuna tofauti kati ya mkutano wa kisiasa na mawaidha ya msikitini
   
 13. M

  Mnyonge Namba1 JF-Expert Member

  #13
  Aug 9, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 402
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hebu jibu sasa hoja iliyopo mezani.
   
 14. M

  Mnyonge Namba1 JF-Expert Member

  #14
  Aug 9, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 402
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Inabidi Zatara ufunguke zaidi ili jamii ikusome
   
 15. M

  Mnyonge Namba1 JF-Expert Member

  #15
  Aug 9, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 402
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hivi mkigoma ndio Jussa mwenyewe au?.
   
 16. M

  Mnyonge Namba1 JF-Expert Member

  #16
  Aug 9, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 402
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Tusiende nje ya mada jamani.
   
 17. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #17
  Aug 9, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Ningeshagaa wewe kukosekana hapa
   
 18. M

  Mnyonge Namba1 JF-Expert Member

  #18
  Aug 9, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 402
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hebu jikite kwenye mada husika mkuu.
   
 19. M

  Mnyonge Namba1 JF-Expert Member

  #19
  Aug 9, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 402
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mkigoma ana haribu mijadala mingi sana kwa kuegemea upande mmoja tu wa dini.
   
 20. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #20
  Aug 9, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Jamaa ana udini sana
   
Loading...