Mahojiano na Mhe. Dr Faustine Ndugulile Part 1 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mahojiano na Mhe. Dr Faustine Ndugulile Part 1

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MziziMkavu, Aug 19, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Aug 19, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,614
  Trophy Points: 280  Sehemu ya kwanza kati ya mbili za mahojiano na Mbunge wa Kigamboni (CCM) Dr Faustine Ndugulile ambaye ameeleza mengi kuhusu kongamano kuu la UKIMWI alilohudhuria hapa Washington DC, hali ya mapambano ya UKIMWI nchini Tanzania na pia harakati zake BUNGENI.
  Kagusia mgogoro wa MJI MPYA wa KIGAMBONI na mengineyo.
  Karibu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Aug 19, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,614
  Trophy Points: 280
  Hii ni sehemu ya pili na ya mwisho ya mahojiano na Mbunge wa Jimbo la Kigamboni (CCM) Dr. Faustine Ndugulile.
  Katika sehemu hii, amezungumzia suala la mgomo wa madaktari na athari zake kwa nchi. Je! Yeye (ambaye pia ni Daktari) anaamini kuwafutia leseni ni uamuzi sahihi?.

  Tumesherehekea SIKU YA MASHUJAA NCHINI. Ni kweli kuwa Tanzania TUNA MASHUJAA? TUNAWAENZI VEMA MASHUJAA (kama wapo) na NI VIPI TUNATENGENEZA MASHUJAA WAJAO?


  Anazungumzia vipi vipaumbele vya matumizi ya serikali kulingana na mahitaji ya mwananchi?

  Ni vipi/ ama kwa kiasi gani kuna ushirikiano wa wabunge (hasa vijana) toka vyama mbalimbali ili kuipeleka Tanzania mbele

  Imeelezwa kuwa serikali inachangia 3% ya gharama za mapambano dhidi ya UKIMWI licha ya kuutangaza kama JANGA LA TAIFA. Ni kweli tuna dhamira ya kupambana na ugonjwa huu?


  Na upi mwito wake kwa waTanzania wote?

  KARIBU
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...