January Makamba, vipi ile ahadi juu ya makampuni ya simu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

January Makamba, vipi ile ahadi juu ya makampuni ya simu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mess, Aug 17, 2012.

 1. Mess

  Mess JF-Expert Member

  #1
  Aug 17, 2012
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 667
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wana JF,

  Labda mimi nipo nyuma ya wakati, huyu kijana aliahidi kushughulikia kero za simu kwa watumiaji. Ikiwamo message zinazoingia bila mpango, charges za simu, kutopatikana kwa simu wakati iko on, muingiliano wa mawasiliano, huduma za kutuma pesa na vitu vinginevyo.

  Hivi amefikia wapi? Au ile ilikuwa ndo style ya kuingilia kula pesa kwa makampuni ya simu?

  Naomba kujuzwa
   
 2. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #2
  Aug 17, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  inawezekana alikuwa na nia njema lakini utendaji kazi ndani ya CCM ni mgumu mno, sikia tu Mess ni ngumu ngumu ngumu, kila unapotaka kufanya move unakutana na vikwazo vingi sana. hivyo wananchi ndio waamuzi
   
 3. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #3
  Aug 17, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,849
  Likes Received: 473
  Trophy Points: 180
  Amechanganyikiwa baada ya tender yake ya kuuza matairi tanesco kupigwa chini na prof.muhogo
   
 4. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #4
  Aug 17, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Nasikia wametupandishia zaidi gharama! Huyo kijana vijana wenzie wanamwita 'maghumashi'
   
 5. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #5
  Aug 17, 2012
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  January mchapakazi mwacheni kwa raha zake atimize wajibu wake
   
 6. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #6
  Aug 17, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Wajibu gani au matakwa ya watu flanflan
   
 7. Adharusi

  Adharusi JF-Expert Member

  #7
  Aug 17, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 10,635
  Likes Received: 3,017
  Trophy Points: 280
  ILO unalosema ndio mimi linaniumiza,mimi kuna namba hii 15556,tokea olimpiki ilivyoanza wanakata fedha yangu,nikiwapigia voda wanalazimisha kuwa nimejiunga katika hii huduma,wanasema niandike neno ONDOA,au ZIMA kwenda 15556,nikituma yanakuja majibu kuwa SAMAHAN UJASAJILIWA,sasahivi wanatuma msg za lig kuu ya ENGLAND
   
 8. Escobar

  Escobar JF-Expert Member

  #8
  Aug 17, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 576
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 60
  Yeye mwanyewe aliingia kwa mlungula wa wawekezaji kupitia kwa dada yake na dada yake huyo huyo ni mwajiriwa wa kampuni ya simu ambao niwawekezaji tena anasimamia sijui uhusiano sasa hapo unategemea nini? Inawezekana alipotamka tu hilo dada mtu akamtumia msg, "kaka umeanza, naye atakuwa alijibu nilikuwa nawashtua tu ili wanijue teh teh teh!
   
 9. Mess

  Mess JF-Expert Member

  #9
  Aug 17, 2012
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 667
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  ni kweli na yeye alikuwepo bungeni
   
 10. Mess

  Mess JF-Expert Member

  #10
  Aug 17, 2012
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 667
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mimi message zinaenda kwa watu kuwa mwenye namba hii alitakupigia muda fulani mabyo ni message kama huna pesa hiyo nayo sijaomba mt atumiwe kwa nini mnamtumia? Tigo kama mtu anaongea na simu ukimpigia simu inakwambia hapatikani. message zinaingia bila mpango na wezi hawa mara umeshinda droo mara nini basi tuwe tuna subscribe kwenye hizo jumbe openly
   
 11. Mess

  Mess JF-Expert Member

  #11
  Aug 17, 2012
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 667
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  kwa hiyo unatuambia tuvute subira?
   
 12. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #12
  Aug 17, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,629
  Likes Received: 9,846
  Trophy Points: 280
  bado anakula good tyme kufurahia cheo kipya......
   
 13. Ground Zero

  Ground Zero JF-Expert Member

  #13
  Aug 17, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 342
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bunge la bajeti limeisha jana. Tumpe muda wa utekelezaji!
   
 14. Ground Zero

  Ground Zero JF-Expert Member

  #14
  Aug 17, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 342
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hizi ni habari za vijiweni tu! look for facts sio hisia za watu mkuu.
   
 15. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #15
  Aug 17, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Jana mimi MAGAMBA yaliniuzi sasa kukataa hoja ya Ezekiel Wenje (CDM) aliyotaka kutopandisha gharama za simu. Ingawa pia Makinda alionesha udhaifu mkubwa kwani sauti za NDIYO na HAPANA zilikuwa sawa, kuna mbunge mmoja akasema zipingwe kura lakini li-Makinda likalazimisha eti waliosema NDIYOOO wameshinda.

  Hivi kwanini haya magamba hayana huruma na sisi Watanzania?
   
 16. Jiwe Linaloishi

  Jiwe Linaloishi JF-Expert Member

  #16
  Aug 17, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 3,736
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  labda washaweka kenye akaunti... kalainika... ngoja tuone muda bado upo
   
 17. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #17
  Aug 17, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280

  we utakuwa mgeni hapa jamvini..hili nalo hulijui lilivyokuwa na dada mtu alivyoshughulika!!!
   
 18. Wamunzengo

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #18
  Aug 17, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 810
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  Mkuu, mimi ni mmoja wa vijana ambao wanaamini, kijana hawezi kubadilisha utendaji kazi wa serikali ya CCM akiwa humohumo ndani. huo ujanja atauotoa wapiii??? uwakute kina Msekwa wametuna halafu uharibu mianya yao ya ulaji eti kisa unataka kuleta mabadiliko!!!??? THUBUTU, kama kweli vijana tunataka hatima njema ya hii nchi, tuachaneni na CCM, ili tujipange upya kwenye chama kingine. vijana wanaoingia CCM, hawana uwezo wa kuwabadilisha hao wazee wao, kwanza ni baba zao, hapo unategemea nini??? hizo kero alizozitaja, ndo zinawaingizia pesa chafu, na wao wapo kwa ajili ya kuhakikisha mtanzania ananyonywa kwa kadri inavyowezekana, unadhani january tu atawaweza??? kama alikuwa na nia ya dhati kuwasaidia watanzania, ahame hicho chama, ndo ataweza kuwa huru na kuyakemea hayo mambo, si tunawaona kina Msigwa, Lissu, Zitto, Mnyika, hivi unadhani kama kweli wangekuwa CCM, wangekemea hayo mambo???
   
 19. Manyi

  Manyi JF-Expert Member

  #19
  Aug 17, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 3,256
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hana ubavu wa kuwakoromea waliomweka madarakani, unacheza na rushwa nini!
   
 20. a

  annalolo JF-Expert Member

  #20
  Aug 17, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 310
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hao ndo wanachosha mimi wanakataka pesa mara caller tune wakati sijawahi jiunga, nachoka kabisa
   
Loading...