Safari za Kikwete zazaa matunda... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Safari za Kikwete zazaa matunda...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by zomba, Aug 15, 2012.

 1. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #1
  Aug 15, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Waalim wa sayansi 47 kutoka USA wameapishwa leo ubalozi wa Merekani. Wamejitolea kuja kufundisha shule za Sekondari za Tanzania baada ya kuombwa rasmi na Mheshimiwa Rais Kikwete.

  Ahsante Kikwete. Inanikumbusha wakati nasoma, enzi hizo, tulikuwa na Waalim kutoka Australia, India, Uingereza kwa uchache na mambo yallikuwa swaafi kabisa,

  Hii ni fursa kubwa kwa Waalim wetu kujifundisha mbinu za wenzetu nasi kuwaonesha uwezo wetu nao wajifunze kutoka kwetu.

  Haya wanafunzi, kazi kwenu na Mungu awasaidie muwe wanafunzi wazuri wa kuigwa na hawa Wamerekani wapeleke salaam njema kwao ili waje na wengine wanaosuasua.
   
 2. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #2
  Aug 15, 2012
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,196
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  PEACE CORPS mbona wapo toka wakati wa President Nyerere na Kennedy
   
 3. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #3
  Aug 15, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Namshangaa zomba!, ndagha lelo ngambo ngali jha kwa mwakaleli!
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Aug 15, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,336
  Likes Received: 22,188
  Trophy Points: 280
  paukwaaaaa...... Pakawa.
  Hatuna mengi zaidi ya kumpamba baba Mwanaasha.
  Asanteni sana kwa kusoma uzi huu
   
 5. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #5
  Aug 15, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kikwete fanya vitu vyako, mabarabara umejenga tele, leo tanzania imekuwa kama kijiji, kigoma to Dar ni masaa 12, kupitia daraja malagalasi.
   
 6. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #6
  Aug 15, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,198
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Kwi! Kwi! Kwi! Kwi! Kwi! Teh! Teh mbavu zangu jamani!!!!! Hizi ndio pongezi za kwenye vijiwe vya uji, tambi na magimbi du mambo ya Mwalimu Nyerere mwaka 1965 ndiyo yanajirudia tena karne hiii!!!!!!!
   
 7. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #7
  Aug 15, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Walikuwepo kabla ya Nyerere na Keneddy au hulijui hilo?
   
 8. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #8
  Aug 15, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,935
  Likes Received: 672
  Trophy Points: 280
  Uji ulikua hauna limao nini?

  teh teh teh......!
   
 9. suleym

  suleym JF-Expert Member

  #9
  Aug 15, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,717
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Mi nawasubiri kwenye shule yetu ya kata nyandekwa huko kahama mkoan shinyanga watakuwa wametatua tatizo la shule ye2 la kukosa walimu wa masomo ya sayansi
   
 10. k

  kagame Senior Member

  #10
  Aug 15, 2012
  Joined: Dec 6, 2008
  Messages: 159
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Shule za kata, kiswahili shida kwa wanafunzi je hao waalimu wa USA wataeleweka darasani kwa sampuli ya wanafunzi hao wasiojua vyema hata kiswahili? Lugha gongana na output ya hiyo lessons itakuwa approximately to none.
   
 11. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #11
  Aug 15, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,696
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Walimu 47!! Tone la sukari kwenye pipa la maji!! Vipi language?
   
 12. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #12
  Aug 15, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Wanaenda kufundisha Selous nini??
   
 13. kisururu

  kisururu JF-Expert Member

  #13
  Aug 15, 2012
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 332
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Zomba kwewli unamatatizo,miaka ishirini iliyopita hawa walimu walikua wanakujana walinifundisha miaka hiyo.nakumbuka walinifundisha kutumia computer miaka hiyo
   
 14. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #14
  Aug 15, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Upuuzi mtupu. Ukilinganisha gharama za safari za JK na kile watakachochangia utajua nimaanishacho kwa kusema upuuzi mtupu. Kwani rais ni waziri wa elimu? Hili la kuomba walimu laweza kufanyika hata hapa hapa Dar kupitia ubalozi wa Marekani. Ingawa mleta mada ni shabiki wa JK angetafuta kitu kinachoingia akilini badala ya habari hii ya kidaku na kinazi.
   
 15. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #15
  Aug 15, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kweli walimu wa SAYA NSI!. Kazi kweli kweli.
   
 16. oba

  oba JF-Expert Member

  #16
  Aug 15, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 307
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  I don't buy chip things because chip is always expensive and short cut will always cut you short......kuimport waalimu kutoka nje ya nchi huku wa kwenu mnashindwa kuwalipa ni kutafuta vitu rahisi...by the way siamini kuwa hao wa nje wanakuja bure....gharama yao mtaitambua baada ya uranium yenu na mali asili nyingine kutwaliwa live mbele ya macho yenu
  Nachukia sana vitu vya msaada au vya bure!
   
 17. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #17
  Aug 15, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,700
  Trophy Points: 280
  Kikwete kwa nini hakuomba na waalimu 47 kutoka Iran au Uraq au Libya? Anazidisha mfumo K. Tunataka usawa
   
 18. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #18
  Aug 15, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Ndiyo maandalizi ya kureplace watakao goma?hao wanafundishwa lugha inapanda?au ndo sifa za kijinga?
   
 19. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #19
  Aug 15, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Hivi kati ya hao 47 uwiano wa dini ukoje!? maana yake wanawezaleta wa dini moja tu!
   
 20. frema120

  frema120 JF-Expert Member

  #20
  Aug 15, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 5,103
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Napita manzese yani mpaka raha naona shell ya mafuta ya lake oil eti ni ya ridhiwan jamani nzuri kweli hili nimeambiwa imejengwa eneo maalum kwa soko la machinga manzese........

  CHAMA
  SENGEREMA
   
Loading...