Idara ya Maafa ya Waziri Mkuu lawamani Kilosa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Idara ya Maafa ya Waziri Mkuu lawamani Kilosa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by bagamoyo, Aug 19, 2012.

 1. b

  bagamoyo JF-Expert Member

  #1
  Aug 19, 2012
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 4,522
  Likes Received: 2,108
  Trophy Points: 280
  Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Willbrod Slaa amemtaka Waziri Mkuu Mizengo Pinda kutoa taarifa ya Michango iliyotolewa na nchi marafiki,Makampuni,Taasis na watu binafsi kwa wahanga wa Mafuriko ya Kilosa.

  Pia Slaa amesema Serikali itoe taarifa ya Michango iliyotolewa kwa Wahanga wa Mafuriko ya Dar es salaam na Mabomu ya Mbagala. Slaa aliyasema hayo katika Wilaya ya Kilosa baada ya kuwatembelea Waathirika wa Mafuriko ya Kilosa katika Makambi yao.  video Chadematv ya youtube.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. kanga

  kanga JF-Expert Member

  #2
  Aug 21, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,011
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  hakuna kitengo cha ufisadi kama maafa na sherehe cha ofisi ya waziri mkuu pamoja na ofisi ya mkoa dar, wanapokea vifaa na fedha lakini wanawasilisha vitu chakavu na rejected wakati wananchi na corporates wametoa fedha na vifaa premium.DR SLAA IS RIGHT TO TASK THE PM.
   
Loading...