Mkurabitambo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2010
- 230
- 57
katika mzozo wa Tz na Malaw,kuna mengi yalisemwa na watu mbalimbali. Alianza EL akiwa bungeni akaita waandish wahabari na akatangaza kwamba jeshi liko tayar kwa vita,wik kadhaa badae JK akiwa msumbiji akatamka kwamba tz hatuna mpango na vita.
Ninashidwa elewa nani ni nani hapa Tz.au ndo freedom of speech,au mzee wa mvi anapiga zoez kujiandaa kumbadil kiungo wa kati JK?
Ninashidwa elewa nani ni nani hapa Tz.au ndo freedom of speech,au mzee wa mvi anapiga zoez kujiandaa kumbadil kiungo wa kati JK?