Mahakama Tanzania: Tegemeo lililofifia

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,928
3,225
Serikali (Raisi) na mahakama ni maswahiba na mahakama imekuwa ikitii maelekezo yote yawe sahihi au batili kutoka serikalini! rejea kessi ya Arusha mjini, rejea kesi ya Segerea, rejea mgogoro wa madaktari na serikali, rejea recently mgogoro wa walimu na serikali ni wazi mahakama sasa ipo biased haiwezi kutoa haki tena!!bila kuwepo katiba mpya na uhuru wa mahakama hakuna haki!!

Pendekezo:

Majaji wapendekezwe na mahakama kwa kura, then wadhibitishwe na Bunge.

Budget ya Mahakama itoke Hazina direct
 
ili upate haki yako kwenye mahakama za bongo inajibu ujibu japo swali moja kati ya haya
1. Wewe ni nani? government official? mfanyabiashara maarufu kama rostam?Chenge? au mtu wa kawaida tu?
2. Una nini? pesa? au uko mikono mitupu?
3. Unamjua nani? riziwani? au mjumbe wa nyumba kumi?
Tafakari na chukua hatua
 
Serikali (Raisi) na mahakama ni maswahiba na mahakama imekuwa ikitii maelekezo yote yawe sahihi au batili kutoka serikalini! rejea kessi ya Arusha mjini, rejea kesi ya Segerea, rejea mgogoro wa madaktari na serikali, rejea recently mgogoro wa walimu na serikali ni wazi mahakama sasa ipo biased haiwezi kutoa haki tena!!bila kuwepo katiba mpya na uhuru wa mahakama hakuna haki!!

Pendekezo:

Majaji wapendekezwe na mahakama kwa kura, then wadhibitishwe na Bunge.

Budget ya Mahakama itoke Hazina direct

USA na Sasa Hivi Katiba ya Kenya zina three Branches of Government

1. LEGISLATIVE BRANCH

For US - Members of Congress; Kwa Kenya ni Wabunge - wote wanateuliwa

2. EXECUTIVE BRANCH

Ni President/ VP na Mawaziri Mawaziri sio Wabunge

Wanatakiwa kupitishwa na Bunge; kwa Qualification zao

3.JUDICIARY BRANCH

Hapa ni Majani na Kenya na USA ni same

Majaji wa Wilaya na Mkoa watachaguliwa kwa KURA; na nadhani hapa kuna tuma inawaangalia ufanyaji kazi wao

Majaji wakuu hawa watachaguliwa na Rais na lazima waidhinishwe na BUNGE kwahiyo ni Qualification hakuna Urafiki Urafiki tena ni ni Maisha

*** Zote hizi zina BAJETI ZAKE... Kwahiyo kama katiba yetu ikifanya hivi; UPENDELEO wa CCM UNAKUFA...
 
Kwa Bunge letu linalonuka Rushwa, Bunge la Walevi na Wavuta Bangi, sitegemei Kama tutapata watumishi bora wa Mahakama.
 
Back
Top Bottom