frema120
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 5,099
- 1,338
Shikamoo babaa dokta makufulii?
Napenda sana utendaji, usimamizi na uwajibikaji wako katika kutumikia wananchi,
Sasa nimefika jiji la masamaki kuna kamvua kwa mbaliliiiii
so nilipitaga barabara ya kati muda sio mrefu kwenda mwanza from dar~moro~dodoma~singida n.k.
Katika MLIMA SENKEKE (ulikua ni hatari sana) nashukuru kwakuuhamisha toka kule pahatari na kuja huku sasa ulipo kwenye heri kidogo.....
ikiwa hata mwaka ujafika jana nimepita mlima huo nilitamani kulia kwani barabara hile imealibika kweli
Mashimo ni mengi, kingo za madaraja zimetoka, alama za barabaran hakuna, magari makubwa hupata tabu kupita, kona kali nying n.k
Na ulitamba kuwa mtu atatoka mtwara mpaka mwanza kwa taxes, je itawezekana kwa hali hiyo......
Ok mimi nakusalimu tu, nimefika kwa babu naongeza siraha, niludi tena jiji la maraha bongo na hongera kwakumkosesha mwezio ubunge na kauli zako za bulabo nimepita kwake yanii inaumaaa
V
SENGEREMA