nionavyo mimi bora tuwe na serikali ya uwajibikaji zaidi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nionavyo mimi bora tuwe na serikali ya uwajibikaji zaidi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by parmena mpande, Aug 25, 2012.

 1. p

  parmena mpande New Member

  #1
  Aug 25, 2012
  Joined: Jul 22, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wana jf kwa mara nyingine naungana nanyi kwenye jf ili kutoa dukuku zangu kama mtanzania ili kwa pamoja tujenge nchi yetu ,tanzania itajengwa na watanzania wazalendo tu na si vinginevyo,kwa maoni yangu ili tuweze kwenda mbele kwa kasi kimaendeleo ipo haja kuweka mapendekezo katika katiba ijayo kwamba tuwe na serikali yenye kuwajibika zaidi kwa maana ya utendaji kwa umma na sio kwa wana siasa , wao wabakie katika kupanga sera na kuomba ridhaa ya kuongoza nchi katika chaguzi mbalimbali ,hapo impact ya bunge, mahakama itaonekana ipasavyo
   
Loading...