Uchaguzi mdogo Igunga

Nikupateje

JF-Expert Member
Dec 22, 2009
1,334
988
Haya sasa, thread zote kuhusu kushindwa Kafumu zihamie huku, maana zote zinamaanisha uchaguzi mdogo hivi karibuni.
 
Nape kasema CCM wanakata rufaa. nadhani baada ya hiyo rufaa ndo thread zitahamia huku
 
fundisho ni kwamba siku zote haki hainunuliwi kwa kuwapa watu kanga, misaada,na rushwa ila nguvu ya UMMA ni suluhisho tosha, hivyo demokrasia Tanzania inazidi kukomaa.
 
Back
Top Bottom