JK aongoza kikao cha Kamati kuu ya NEC CCM leo. Ubunge Igunga kujadiliwa

bibikuku

JF-Expert Member
Feb 16, 2011
832
495
Mwenyekiti wa CCM leo amewaita wajumbe wa kamati kuu ya CCM na kujadiliana nao maswala kadhaa katika kikao kinachofanyika Ikulu. Swala la uchaguzi Igunga na maamuzi ya mahakama huenda likapewa nafasi kutokana na ushauri wa baadhi ya wana-CCM na aliyekuwa mbunge kutokutaka kukata rufaa licha ya tamko la Nape.

Hii ni picha ya kikao kama ilivyokuwa leo hii.

ccm1.jpg

Kweli kwa kipindi hiki cha vasco dagama,ikulu imekosa heshima yake
 
Aiseee baba yangu ikulu ni kuzuri hivi chadema wakiingia madarakani hawata kumbuka kutoka nje ya nchi
 
Mwenyekiti wa CCM leo amewaita wajumbe wa kamati kuu ya CCM na kujadiliana nao maswala kadhaa katika kikao kinachofanyika Ikulu. Swala la uchaguzi Igunga na maamuzi ya mahakama huenda likapewa nafasi kutokana na ushauri wa baadhi ya wana-CCM na aliyekuwa mbunge kutokutaka kukata rufaa licha ya tamko la Nape.

Hii ni picha ya kikao kama ilivyokuwa leo hii.

View attachment 62764

Angelikuwa Mwalimu Nyerere kingetoka zingetoka busara tupu hapo! lakini hao ni majuto tu. Wote wanaangalia midomo ya JK inacheza vipi wamfurahishe! Sana sana wataongelea namna ya kuinyamazisha Chadema
 
Kweli kwa kipindi hiki cha vasco dagama,ikulu imekosa heshima yake

nimesoma udaku kuwa hata Diamond mchumba wa Wema sepetu eti kaitwa Ikulu naye, sijui kweli, kama ni kweli jamaa anashusha hadhi ya jengo hilo tukufu
 
Safari akuna tena!!! nilitegemea leo atakua anachukua Mwewe(Ndege) but anaweza kubadilika akimaliza kikao akaondoka.
 
Back
Top Bottom