Uchaguzi wa m/kiti wa CCM mwanza uzingatie nini?

Asango

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
234
24
Uchaguzi wa mwenyekiti wa ccm mkoa wa mwanza ni jukumu la wana ccm makini wenye kujua wanatoka wapi wanaelekea wapi.! Ccm inahitaji kijana mzalendo mwenye kujua kiloleli b inahitaji ofisi ya ccm na sehemu nyinginezo . Wito wangu kwa viongozi wote na wajumbe msije mkachagua kiongozi mwenyekushindwa kusimamia ipasavyo ilani ya chama cha mapinduzi. Je, majimbo yote matatu kuchukuliwa na upinzani kuna mabadiliko yoyote? Viongozi madikteta na mafisadi hawatakiwi tena katika chama cha mapinduzi.!! Ccm madhubuti itajengwa na wanaccm wenyewe
 
Mwanza jiandaeni kutoa rais mwaka huu sio kila siku kuwa wapambe wa kaskazini na kusini
 
ni kwel kabisa mwanza twaweza kutoa rais ila nawaomba wajumbe na viongoz wa chama wasifanye makosa kwenye uchaguzi wa mwenyekiti wa chama mkoa kwn kuna kwn kuna baadh ya mafisadi watashiriki kwny uchaguzi huo
 
Uchaguzi wa mwenyekiti wa ccm mkoa wa mwanza ni jukumu la wana ccm makini wenye kujua wanatoka wapi wanaelekea wapi.! Ccm inahitaji kijana mzalendo mwenye kujua kiloleli b inahitaji ofisi ya ccm na sehemu nyinginezo . Wito wangu kwa viongozi wote na wajumbe msije mkachagua kiongozi mwenyekushindwa kusimamia ipasavyo ilani ya chama cha mapinduzi. Je, majimbo yote matatu kuchukuliwa na upinzani kuna mabadiliko yoyote? Viongozi madikteta na mafisadi hawatakiwi tena katika chama cha mapinduzi.!! Ccm madhubuti itajengwa na wanaccm wenyewe
ni eneo eneo la kimsingi katika uchumi wa taifa na lenye vuguvugu kubwa ya kisiasa ambalo kimsingi kwa chama cha mapinduzi kama ilivyo vyama vingine hawana budi kulitazama kwa makini si tu katika kubadili aina ya chupa wakati mvinyo ni uleule bali kuleta mtu anaeweza kuwa na haiba ya watu,uwezo wa kusimama stejini na kusimamia vizuri shughuli za maendeleo,lakini asiwe na uwoga hata kama ni kijana basi kijana mahili
 
ni kwel kabisa mwanza twaweza kutoa rais ila nawaomba wajumbe na viongoz wa chama wasifanye makosa kwenye uchaguzi wa mwenyekiti wa chama mkoa kwn kuna kwn kuna baadh ya mafisadi watashiriki kwny uchaguzi huo
Sawa tu wanamwanza ila asiwe yule mzee anae maliza muda wake, yule anapenda rushwa na kwakweli amekomaZa makundi ndani ya ccm.
 
Amechukua tena form na ana mtandao mkubwa sana hvy ucshangae akarudi tena,wajumbe wawe makini kuchagua atayekikuza chama mkoa wa mwanza
 
Hamna sababu ya kuwarudisha waliosababisha chama kikazamishwa shimoni 2010. Kama somo halikuwafikia wamiliki basi wasubirie 2015. Ni mda wa kuona sura mpya wenye mawazo mapya. Hata hivyo vijana wa chama cha mapinduzi wanaanzia miaka 50+ wakati uwezo wa kufikiri ukianza kushuka au awe mtoto wa mkubwa.
 
Amechukua tena form na ana mtandao mkubwa sana hvy ucshangae akarudi tena,wajumbe wawe makini kuchagua atayekikuza chama mkoa wa mwanza
<BR><BR>hata achukue form ajue dhambi ya kuzamisha ccm mwanza iko juu yake<BR><BR>
 
Ah, kumbe huu uzi ni wanaccm aka mafisadi wanachagua mafisadi wapya!ccm oyee
 
CCM tena wakuu, duh! pamoja na matatizo yake bado mnayo tu! Haya kila kheri
 
Back
Top Bottom