John Malecela kasusia Mtera?

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
naomba kujua kwa nini huyo mzee tunaye muheshimu sana ameamua kususia kabisa jimbo lake aliloongoza kwa miaka mingi'ina maana kushindwa kura za maoni ndio sababu ya kulichukia jimbo?hii inaonyesha ni jinsi gani viongozi hawa wa ccm wanavyopenda madaraka'hata kama wananchi walimnyima kura je ndio sababu ya kususa hata kutembelea?
 
Anaogopa kupata aibu kwasababu ya Kibajaji (Livingstone Lusinde)
naomba kujua kwa nini huyo mzee tunaye muheshimu sana ameamua kususia kabisa jimbo lake aliloongoza kwa miaka mingi'ina maana kushindwa kura za maoni ndio sababu ya kulichukia jimbo?hii inaonyesha ni jinsi gani viongozi hawa wa ccm wanavyopenda madaraka'hata kama wananchi walimnyima kura je ndio sababu ya kususa hata kutembelea?
 
Yupo William Malecela zee la bongo movie

watu weng siku hizi ufikilia kwa masubuli, hila wewe umezaliwa vizuri sanaaaaaa hongera kwa majibu yako makini na yenye tija kwa taifa hiliiiiii
(nimechekaaaaaaa mpaka kikooziiiii)
 
naomba kujua kwa nini huyo mzee tunaye muheshimu sana ameamua kususia kabisa jimbo lake aliloongoza kwa miaka mingi'ina maana kushindwa kura za maoni ndio sababu ya kulichukia jimbo?hii inaonyesha ni jinsi gani viongozi hawa wa ccm wanavyopenda madaraka'hata kama wananchi walimnyima kura je ndio sababu ya kususa hata kutembelea?

Hamuelewi kuwa siasa ni kazi kwa wengi ya kuganga njaa zao na si kwa ajili ya kuwatumikia wananchi. Mfano mzuri ni wale wanasiasa wanaooanza kukopa kwenye chama na kujengea "wake" zao majumba.
 
Back
Top Bottom