Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kutoka Yahoo friends Nimeikuta ikizunguka, labda umeiona, ni kwa faida ya wale ambao hawakuiona. Polisi wanavyotumiwa na CCM kuusambaratisha upinzani!!!ukweli huu hapa na Mwandishi wetu...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
mchezo ulianza kwa vyombo vya habari kuripoti.Kisha akaja waziri wa mambo ya ndani.Kisha akaja kingozi wa vijana wa ccm.Taarifa zilikuwa risasi ndizo zilitumika, hadi kwa majeruhi.na waandishi...
2 Reactions
39 Replies
5K Views
Sherehe za miaka 50 ya uhuru Tanzania inasemekana iligharimu pesa nyingi sana lakini cha ajabu ni kwamba Madaktari na wauguzi waliokuwa wakitoa huduma kiwanjani hawajalipwa hadi leo posho...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
walimu wa secondary and primary wote wapo kwenye mgomo . and to make the matter worse lecturers nao wameanza mgomo and come next week doctors nao wanaanza mgomo. our government can learn from...
0 Reactions
0 Replies
939 Views
Wanabodi,salaam kwenu Tafadhalini someni tamko la BAVICHA kuhusu mauaji ya kinyama ya mwandishi wa chanel Ten ambalo nimewabandikia kama lilivyo. BARAZA LA VIJANA CHADEMA (BAVICHA) JIMBO LA...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hayo yamesemwa leo pale alipohojiwa na DW, amehoji inakuwaje ADC wapate usajili wa ghafla ilihali vyama vingine vinachukua muda mrefu sana? Atuhumu ofisi ya msajili kutumiwa kwa maslah flani, pia...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Ndugu wana JF, tumezidi sana kumkosoa Ndugu yetu, Ist Class Economist, bila ya kumsaidia kimawazo na fikra. Mh kama alivyosema Bungeni,"nilipata alama za A+ under/graduate school, lakini tangu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Pongezi kwa Serikali na tume ya Katiba Mpya Katika hitimisho la Katiba naomba na haya yazingatiwe: 1.Wakuu wa mikoa wachaguliwe na wananchi kila baada ya miaka mitano wakati wa uchaguzi mkuu na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kutokana na madiwani wengi kuwa na uelewa mdogo wa mambo wizi na ubadhilifu unafanyika bila hata wao kujua nini cha kufanya hivyo ni vema wakawa na elimu ambayo inaweza kuwawezesha kutambua mambo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nikiwa Kigoma lilipita gari likitangaza kuwa manispaa imekamilisha upimaji wa viwanja katika maeneo ya Kibirizi na Bushabani kwa ajiri ya makazi na biashara hivyo kuwataka wananchi wachukue form...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nasita kukuita mheshimiwa kwa sababu hujawatendea haki wananchi wa jimbo la kalenga, hasa kata ya Nzihi...tunaona aibu hata kusema tuna mbunge ambae ni waziri wa fedha....umekuja kutembelea vijiji...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Itakumbukwa kuwa makamanda kutoka Mbeya walijitolea kwa ghalama zao kwenda kuongeza nguvu katika vuguvugu la M4C kwa kutoa elimu ya uraia katika vijiji vyote vya mkoa wa Morogoro, kwa mafanikio...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Home Makala Siasa ADC: Kitaweza kuvunja nguvu ya Chadema, CUF? ADC: Kitaweza kuvunja nguvu ya Chadema, CUF? Send to a friend Wednesday, 05 September 2012 13:38 •Dira ya...
1 Reactions
36 Replies
3K Views
  • Closed
chadema mipango yenu ya makusudi na mnyayo iita ya kimkakati ikiwamo na mipango ya siri, kwa kushirikiana na baadhi ya maaskari polisi ili kufanikisha maslahi yakisiasa kama tuonavyo sasa, chadema...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Bila shaka polisi wamelivurunda hili ile mbaya, hasa baada ya kumuuwa mwandishi. Matokeo yake ndiyo hayo yanayoonekana, kila mtu, taasisi mbali mbali binafgsi, vyombo vya habari etc wamelilaani...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Wana-JF, Baada ya kutazama mkutano wa Chadema uliofanyika Jangwani (26.05.2012) na wa CCM leo tarehe 09.05.2012,nimejifunza kwamba CCM imechokwa na wananchi walio wengi, hivyo CCM imebaki ikitumia...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Ndugu zangu, Kufuatia mauaji ya kutisha na ya kusikitisha ya mwandishi Daudi Mwangosi ambapo askari wa Jeshi la polisi wanatuhumiwa kuhusika, kumekuwa na mitazamo na mikakati tofauti miongoni...
0 Reactions
78 Replies
7K Views
Itakumbukwa tarehe 02/09/2012 katika operesheni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Iringa kulitokea vurugu zilizosababisha kuuawa kwa mwanahabari mzoefu Ndg. Daudi Mwangosi na...
0 Reactions
171 Replies
16K Views
katika hali isiyo ya kawaida mama mmoja anayejulikana kwa jina moja la songela amepinga na kudharau agizo la mkuu wa wilaya ya Iramba lililomtaka atoke kwenye nyumba katika kipindi kisichozidi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika hatua ya kushangaza, RPC wa Morogoro amekana askari wake kutumia silaha za moto wakati wa kuzima maandamano ya chadema yaliyofanyika mkoani Morogoro leo.Alisisitiza polisi kupiga mabomu ya...
1 Reactions
139 Replies
16K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…