Viongozi Tanzania tuache dhulma. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi Tanzania tuache dhulma.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by almasi Jamila, Sep 7, 2012.

 1. a

  almasi Jamila New Member

  #1
  Sep 7, 2012
  Joined: Sep 4, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sherehe za miaka 50 ya uhuru Tanzania inasemekana iligharimu pesa nyingi sana lakini cha ajabu ni kwamba Madaktari na wauguzi waliokuwa wakitoa huduma kiwanjani hawajalipwa hadi leo posho zao,wakiuliza wanaambiwa kundi lenu lilikuwa chini ya ofisi ya waziri mkuu wakienda kuuliza wanaambiwa zipo wizara ya Afya,wakienda wizarani wanaambiwa pesa zenu zipo ofise ya Rais ila subirini Hazina watatoa,kwa nini viongozi wetu mlaleta siasa kwenye ujuzi wa watu?woote walipwe ila watu wa afya wasilipwe?mnamaana gani?au mnataka nini kwa madaktari na wauguzi?Tafadhali wahusika walipeni watu hawa acheni siasa
   
 2. P

  Paul J Senior Member

  #2
  Sep 7, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Very sad! 9/12/2011 mpaka sasa bado mwamara haujasoma? Pole sana madakatari na wauguzi. Kamati ya Nchimbi nayo itacheleweshewa malipo kama hawa wenzetu au ni cash in hand investigation will follow?
   
 3. KML

  KML JF-Expert Member

  #3
  Sep 7, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 863
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kwani ilo jipya au mwendelezo??
   
 4. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #4
  Sep 7, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Du inaonekana una hasira nao vibaya mpaka imepekelekea kujiunga na JF faster,ndo kamtindo kao hako,waulize makarani wa sensa watakupa experience zaidi!
   
Loading...